Uchapakazi wa Hayati Magufuli pamoja na usaliti ya viongozi wa CHADEMA umekimaliza chama

sukuma gang mpaka depression iwauwe mkazikwe chato kwa yule mbwa wenu ndo wengine wanaweza pata akili huko lumumba
Yule aliyezikwa chato ni CCM, huyu mliemwalika kwenye shughuli yenu ni CCM.

CDM imegeuka kuwa kama mtoto anayetafuta approval ya mzazi (CCM).

Na CCM watawaweka kwenye nafasi yenu mnayostahili.
 
Vita dhidi ya rushwa? Vipi mapesa ya plea bargaining akaunti zake China?
Huyo shujaa au muuaji? Sukumagang mna shida sana
 
Vita dhidi ya rushwa? Vipi mapesa ya plea bargaining akaunti zake China?
Huyo shujaa au muuaji? Sukumagang mna shida sana
Kuna uthibitisho wowote wa hilo? Kabla ya JPM kuna wahuni walikuwa katikati ya kila transaction ya pesa za serikali, walikuwa madalali wa kukusanya mapato 'kwa niaba ya serikali'. Hao wote aliwaondoa.
 
Yule aliyezikwa chato ni CCM, huyu mlimwalika kwenye shughuli yenu ni CCM.

CDM imegeuka kuwa kama mtoto anayetafuta approval ya mzazi (CCM).

Na CCM watawaweka kwenye nafasi yenu mnayostahili.
sukuma gang umebaki mujifarij kwa kauli zilizochoka maana mlizoea kuuwa watu na bado karma itawamaliza kama yule mbwa wenu anayeoza chato huku akinuka damu za watu na mdipotubu 2025 mtakuwa mmekufa wote kwa sonona kama hujui muulize sabaya.
 
Na ninyi mtachukua nafasi ya sukuma gang ndani ya CCM sio? Maana tayari mnayo makubaliano na CCM.
 
sukuma gang mmebaki kulalama kama mtoto aliyenyimwaa uji na bado mpaka mfe kabisa kwa stroke mkazikwe chato na lile jibwa lenu.
 
Nilijua kuwa umwsharudi, kumbe bado upo Chato?
 
🤣🤣🤣🤣
Mnamalizwa kisayansi na CCM, wakati huohuo nguvu zenu zipo kwenye kupambana na marehemu.
Sukuma gang tumewakomesha mama yenu leo kapewa kadi ya chadema huko moshi halafu wewe mbulukenge wa kulinda legacy bado unajidanganya mnachama akili matope.
 
Yuko wapi sasa hivi
Kifo ni njia ya wote, kama alivyofariki Mwalimu Nyerere na Ben Mkapa, sisi sote njia yetu ni moja.

Sasa maajabu ya CDM ni kupambana na marehemu wakati huohuo CCM inawamaliza taratibu kisayansi kwa kutumia 'asali'.
 
umeongea ukweli mtupu Chadema wajitafakari upya, Hoja za kumpiga vijembe Magufuli hazitawasidia kama aliwanyanyasa au aliwakatili his time passed.

Muhimu kwa sasa wawe wa wazi kwa serikali ya sasa, watanzania hawali maneno maisha mtaani ni magumu njiaa pekee ya kuwashawishi watanznia 2025 ni kuipigia kelele serikali ya sasa kupambania hali za watanzania, kufichua ufisadi, kupambania maslahi ya wafanyakazi.

Wakitaka wapate kura za watanzania Mpaka 2025 kupitia wao.
  • Tozo zishuke au zifutwe.
  • Bei za mafuta zishuke.
  • katiba mpya.
  • Bei za vyakula zishuke.
  • wafichue ufisadi unaofanyika serikalini kwa ushahidi.
Na mengineyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…