Kwani ni uongo? Samia si keshalipia? Ndio maana ya Elimu Bure.View attachment 2867551
Rais wetu mpendwa anatoa wapi hela za kusomesha watu wa nchi hii?
Naamini Rais anachukizwa na hizi sifa mnazombebesha kila uchwao.
UCHAWA UKIZIDI SANA NI AIBU!
Ndio Samia mratibu wa hizo pesa.Kuna siku ulimpeleka Kwa hiari au unalazimishwa?Hela za kodi. Hela za wananchi.