Uchawi anaoutumia mwanamke kukutawala(limbwata) -mshana jr legacy

Kijana wa Kizimkazi 2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
4,842
Reaction score
10,164
Mimi ni Mshana Jr derivative nipo hapa kukupa uchawi anaoutumia mwanamke kukumaliza.

1.Damu ya hedhi
Mwanamke huchanganya kwenye chakula. Na mara tu baada ya kula utawala wa mwanaume unashuka kama CD4. Na hapa mwanaume hataona kosa lolote kwa mke wake na badala yake atagombana na ndugu na siyo mke wake.

2.Kupikiwa supu iliyolowekewa nguo za ndani
Hii inamfanya mwanaume ampende mkewe kupitiliza na hata kushindwa kutekeleza majukumu mengine. Inamfanya mwanaume aishi kama zezeta. Yaani muda wote atawaza mapenzi. Mwanaume wa namna hii hushinda ndani tu na muda mwingine huamrishwa kutekeleza majukumu ya kijinga kama kufua, kuosha vyombo na kupika kwa amri ya mwanamke.

3.Kulishwa mjusi mweusi mdogo anayekaa darini.
Huyu ni mjusi matata sana ukilishwa ujue ni full stop kwishaaaaa. Na hapa utamsikia mkeo anakwambia mume wangu naenda sehemu nikirudi nikute umepika na umeosha vyombo.

4.Maganda ya miwa
Haya yanampa mvuto mwanamke ukimuona tu lazima uvutiwe hata kama anakufanyia mauza uza

5.Kete ya mwisho
Baada ya kuzaa watoto na kujipata mwanamke atakuona si wa type yake kwaiyo ili aendelee kulinda brand yake atatafuta namna akupige chini. Na hapa ni njia rahisi tu(sumu) ambayo itakuua slowslow
 
 
1.kukutenga na marafiki zako/ndugu zako
2.Mama Yako ataambiwa Mchawi
3.Dada zako Wana roho mbaya
4.Kaka zako wanamtaka
5.Wadogo zako tabia mbaya

6.Kuanza kukushutumu unapomkosoa
7.kukudogosha kama hapa alivyobiwa yeye sio rijali
8. Kukutia shaka kwenye mipango au maono Yako
9.uwe tegemezi kwake

Mwisho umeisha
 
Ili mtu apendwe
Hicho tu aisee. Mkuu nilisikiaga kuna dawa ya kujikinga ukitumia mwanaume awakupati kwa mitego yeyote nishawai kusikia kuna mzee alikua anafanya kazi TABORA alikua analima tumbaku vibarua. Wa mama wa tabora walikua na michezo hiyo.

So anasema akikuwekea kwenye misosi mkono unakua unatetemeka au ukishika tonge linadondoka unaacha kula ukiona ivyo.

Akikuwekea kwenye maji ya kuoga anashangaa ngoma umegoma kuoga kabisa ata kama ni mchafu kiasi gani je zipo kweli??
 
Mazishi ya mtu hai kishirikina | JamiiForums Tanzania https://share.google/nW8HjI7Bt1tq0fvhe
 
Limbwata la gundi na kamba | Page 5 | JamiiForums Tanzania https://share.google/VkKu4FaCGpxKzLpiA
 
Mateka na watumwa kwenye ulimwengu wa roho | JamiiForums Tanzania https://share.google/Thgn9F0DDHodaXYZH Mateka na watumwa kwenye ulimwengu wa roho | JamiiForums Tanzania https://share.google/Thgn9F0DDHodaXYZH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…