Uchawi anaoutumia mwanamke kukutawala(limbwata) -mshana jr legacy

Uchawi anaoutumia mwanamke kukutawala(limbwata) -mshana jr legacy

Mimi ni Mshana Jr derivative nipo hapa kukupa uchawi anaoutumia mwanamke kukumaliza.

1.Damu ya hedhi
Mwanamke huchanganya kwenye chakula. Na mara tu baada ya kula utawala wa mwanaume unashuka kama CD4. Na hapa mwanaume hataona kosa lolote kwa mke wake na badala yake atagombana na ndugu na siyo mke wake.

2.Kupikiwa supu iliyolowekewa nguo za ndani
Hii inamfanya mwanaume ampende mkewe kupitiliza na hata kushindwa kutekeleza majukumu mengine. Inamfanya mwanaume aishi kama zezeta. Yaani muda wote atawaza mapenzi. Mwanaume wa namna hii hushinda ndani tu na muda mwingine huamrishwa kutekeleza majukumu ya kijinga kama kufua, kuosha vyombo na kupika kwa amri ya mwanamke.

3.Kulishwa mjusi mweusi mdogo anayekaa darini.
Huyu ni mjusi matata sana ukilishwa ujue ni full stop kwishaaaaa. Na hapa utamsikia mkeo anakwambia mume wangu naenda sehemu nikirudi nikute umepika na umeosha vyombo.

4.Maganda ya miwa
Haya yanampa mvuto mwanamke ukimuona tu lazima uvutiwe hata kama anakufanyia mauza uza

5.Kete ya mwisho
Baada ya kuzaa watoto na kujipata mwanamke atakuona si wa type yake kwaiyo ili aendelee kulinda brand yake atatafuta namna akupige chini. Na hapa ni njia rahisi tu(sumu) ambayo itakuua slowslow
Kweli ulishwe ile damu haramu? Nikigundua ama zake au zangu
 
Mateka na watumwa kwenye ulimwengu wa roho | JamiiForums Tanzania https://share.google/Thgn9F0DDHodaXYZH
Mateka na watumwa kwenye ulimwengu wa roho | JamiiForums Tanzania https://share.google/Thgn9F0DDHodaXYZH
Sawa achana na maswala ya maombi hakuna dawa kama aliyofanyiwa huyo mzee alikua anatokaje ndani ya hao ma mama majangili ambao walikua wanafanya attempt kibao.

Yule mzee nilimkuta sumbawanga alikua ananipa story that time i was 21 years old but now nilisikia alishakata moto ningeenda kumuuliza vizuri
 
Hahaha mzee hii story ya damu ya hedhi ndio nguvu zaidi kati ya hizo zote, ila nashangaa watu bado wanaamini mambo kama haya mwaka 2024
 
Back
Top Bottom