OkKama akiwa mtu wa maombi ya kila siku kuna vitu atafunuliwa

Hahahaha 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🤣View attachment 3652133
Sawa mganga
Alafu mashana haya mambo haya..Hahahaha 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🤣
Huyu mjinga anafundisha upumbavuAlafu mashana haya mambo haya..
Ebu tupe elimu zaidi mtaalamu
Mbna kaweka msisitizo et "" kama unabisha jaribu..."""Huyu mjinga anafundisha upumbavu
Mimi naamini kabisa uchawi na nguvu za asili zipo, tena zinasomeka hadi kwenye radiotherapy ya kienyeji kutibu mifupa bila kuweka vyuma.Mimi nina mastarz ya Chemistry niliifanya research ya dawa ya kienyeji inayotibu mivunjiko ya mifupa kwa kutumia radio waves za asili(radiotherapy) na inaponya kuliko kuwekewa vyuma. Wewe ni nani usiye amini uchawi?
Mjinga huyoMbna kaweka msisitizo et "" kama unabisha jaribu..."""
😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Nyonya ulionenewa utajuta kuzaliwaNataka kukuakikishia kuwa haya ni mawaza tu kama mawazo mengine.
Ukiyaamini yanapata nguvu
Ila kuna wana wananyonya uchi mbonq hatuoni wakitawaliwa😀
KakaNyonya ulionenewa utajuta kuzaliwa
Aisee mbona najihisi kichefu chefu?Mimi ni Mshana Jr derivative nipo hapa kukupa uchawi anaoutumia mwanamke kukumaliza.
1.Damu ya hedhi
Mwanamke huchanganya kwenye chakula. Na mara tu baada ya kula utawala wa mwanaume unashuka kama CD4. Na hapa mwanaume hataona kosa lolote kwa mke wake na badala yake atagombana na ndugu na siyo mke wake.
2.Kupikiwa supu iliyolowekewa nguo za ndani
Hii inamfanya mwanaume ampende mkewe kupitiliza na hata kushindwa kutekeleza majukumu mengine. Inamfanya mwanaume aishi kama zezeta. Yaani muda wote atawaza mapenzi. Mwanaume wa namna hii hushinda ndani tu na muda mwingine huamrishwa kutekeleza majukumu ya kijinga kama kufua, kuosha vyombo na kupika kwa amri ya mwanamke.
3.Kulishwa mjusi mweusi mdogo anayekaa darini.
Huyu ni mjusi matata sana ukilishwa ujue ni full stop kwishaaaaa. Na hapa utamsikia mkeo anakwambia mume wangu naenda sehemu nikirudi nikute umepika na umeosha vyombo.
4.Maganda ya miwa
Haya yanampa mvuto mwanamke ukimuona tu lazima uvutiwe hata kama anakufanyia mauza uza
5.Kete ya mwisho
Baada ya kuzaa watoto na kujipata mwanamke atakuona si wa type yake kwaiyo ili aendelee kulinda brand yake atatafuta namna akupige chini. Na hapa ni njia rahisi tu(sumu) ambayo itakuua slowslow
Noted.Usitumie chochote zaidi ya chumvi ya mawe
SawaMimi ni Mshana Jr derivative nipo hapa kukupa uchawi anaoutumia mwanamke kukumaliza.