Uchawi anaoutumia mwanamke kukutawala(limbwata) -mshana jr legacy

Mimi nina mastarz ya Chemistry niliifanya research ya dawa ya kienyeji inayotibu mivunjiko ya mifupa kwa kutumia radio waves za asili(radiotherapy) na inaponya kuliko kuwekewa vyuma. Wewe ni nani usiye amini uchawi?
Mimi naamini kabisa uchawi na nguvu za asili zipo, tena zinasomeka hadi kwenye radiotherapy ya kienyeji kutibu mifupa bila kuweka vyuma.

Lakini hizi habari zako za kulishwa mjusi wa darini na supu ya chupi ni low budget fiction.
 
Aisee mbona najihisi kichefu chefu?
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ