Uchawi gani umetumika kuiba hela zangu kwenye kibubu?

Uchawi gani umetumika kuiba hela zangu kwenye kibubu?

Nimevunja kibubu muda huu, kibubu nilichodunduliza 20% ya kila nilicho kipata kwa miezi nane (nilianza pasaka) nimekuta shilingi 4'500/ kweli? Dah
Umekopwa zikanunue mabehewa.Zitarudishwa na riba.
NB:Mbane mnayeishi naye chumba kimoja.Kuna dondoo na taarifa fiche za "kiitelijensia" anazo.
 
Serikali imekata tozo yake 😂😂
 
Back
Top Bottom