Uchawi gani umetumika kuiba hela zangu kwenye kibubu?

Uchawi gani umetumika kuiba hela zangu kwenye kibubu?

Hapo Kuna VAT imekatwa, kuna TOZO n.k usishangae. Ni kawaida siku hizi hata ukiweka mfukoni tu pesa inakatwa.
 
Kibubu ulichonga au ulinunua vile unakuta kishatengenezwa tayar maana vile vilivotengeneza tayari wanawekaga chuma ulete hata me yashawahi nikuta
Vingine vinauzwa pale getini Mlimani City, nilikuwa na rafiki yangu yuko na mpenzi wake mzungu, mzungu akauliza what is this? Mpenzi wake akajibu grand mother's bank
 
Kaka, nilivyo bahili nichepuke nipate hasara?
Mizinga ya saluni, waliofiwa kwenye magrupu ya whatsup, marejesho etc.
Siku ya kupiga show utume nauli na ya kutolea, ulipie misosi na mabia, ulipie gesti, umpe posho ya uchovu, utadhani wewe hujachoka. Umpe tena na hela ya Bolt ya kumrudisha, kero yote hiyo ya nini? Si bora tu niwe mwaminifu kwa mke wangu nimuaibishe shetani
Lakini gest SI tulikubaliana ni AIR BNB
 
Back
Top Bottom