Uchawi gani umetumika kuiba hela zangu kwenye kibubu?

Uchawi gani umetumika kuiba hela zangu kwenye kibubu?

Formula ya kibubu ipo hivi Mkuu

unaenda kwa Fundi anakitengeneza upo hapo hapo unaondoka nacho, vile ambavyo unakuta kishatengenezwa Tayari ni Ugonjwa wa Moyo Mkuu, vibubu vingi ni autopilot
Au bora ujitengenezee mwenyewe
 
Mchepuko?
Ili nijiridhishe kama ni uchawi kweli
Kaka, nilivyo bahili nichepuke nipate hasara?
Mizinga ya saluni, waliofiwa kwenye magrupu ya whatsup, marejesho etc.
Siku ya kupiga show utume nauli na ya kutolea, ulipie misosi na mabia, ulipie gesti, umpe posho ya uchovu, utadhani wewe hujachoka. Umpe tena na hela ya Bolt ya kumrudisha, kero yote hiyo ya nini? Si bora tu niwe mwaminifu kwa mke wangu nimuaibishe shetani
 
Jicho kibubu ni Cha pale Mwenge vinyago?😂😂

Mimi niliamua kutoa coins kwenye mzunguko wangu ninadumu langu la Lita 15 la kisima water nimelipiga tape lote natupia coins humo nikirudi kazini Kila siku.

Stori za chuma ulete kwa njia za vibubu ni nyingi.

Ila Bujibuji Simba Nyamaume ulikuwa hauoni utofauti Hadi kukuta hiyo 4,500?
 
Formula ya kibubu ipo hivi Mkuu

unaenda kwa Fundi anakitengeneza upo hapo hapo unaondoka nacho, vile ambavyo unakuta kishatengenezwa Tayari ni Ugonjwa wa Moyo Mkuu, vibubu vingi ni autopilot
Khaaa 😂😂😂
 
Fundi aliyekutengenezeaa alikuwekea chuma uletee mkuu..polee
 
Jicho kibubu ni Cha pale Mwenge vinyago?😂😂

Mimi niliamua kutoa coins kwenye mzunguko wangu ninadumu langu la Lita 15 la kisima water nimelipiga tape lote natupia coins humo nikirudi kazini Kila siku.

Stori za chuma ulete kwa njia za vibubu ni nyingi.

Ila Bujibuji Simba Nyamaume ulikuwa hauoni utofauti Hadi kukuta hiyo 4,500?
Nilikiwekea umadhubuti nilikigandisha na gundi ya mbao kwenye stuli hivyo sikuwa nakinyanyua kukipima upepo
 
Back
Top Bottom