Uchawi gani umetumika kuiba hela zangu kwenye kibubu?

Uchawi gani umetumika kuiba hela zangu kwenye kibubu?

Una uhakika kuwa ulikuwa unaweka pesa humo maana kuna mwingine anatengenezesha kibubu halafu anaweka mtobo mwenyw wa kuchomoa pesa akibanwa na shida anajiibia mwenyewe.
 
Kuna stori nilisoma miaka ya 90 kwenye jarida la Sani enzi hizo, kwamba unatakiwa kuwa makini pindi unaponunua vibubu, yaani kuna baadhi ufungwa ving’amuzi (Chuma ulete).

Na ving’amuzi vinaweza wekewa code, mfano kichukue note za 5000 pekee ama note ya 10,000.

Sasa kama ulisoma elimu ya kujitegemea unaweza jitengenezea kibubu mwenyewe na ukawa safe zaidi.

Pole sana mdau.
 
Tumia cha digital una lock kwa namba kinatumia betri
 
Ahahaha! Inachekesha Kama mazuri vile!? Nasikia wanaotengeneza vibubu Kuna Ulozi fulan wanafanya kwenye ivo vibubu,
Note: inasemekana lakn
 
😂😂😂pole sana, Mimi nlikua natunza elf kumi, nikiwa sina ten natunza elf 5 nkajakukuta elf 50 miez 3 yote, Sa hiv natunzia kweny box la Henessy kila siku nazihesabu
Nimevunja kibubu muda huu, kibubu nilichodunduliza 20% ya kila nilicho kipata kwa miezi nane (nilianza pasaka) nimekuta shilingi 4'500/ kweli? Dah
 
[emoji23][emoji23][emoji23]pole sana, Mimi nlikua natunza elf kumi, nikiwa sina ten natunza elf 5 nkajakukuta elf 50 miez 3 yote, Sa hiv natunzia kweny box la Henessy kila siku nazihesabu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
kuna jamaa angu pia ilikuwa ivyo ivyo aliweka pesa kwenye kibubu tena noti tupu, siku ya kukivunja akakuta 4,500 pekee, kilichomshangaza zaidi hakuwai kuweka Coin ata siku moja. dah uchawi upo mazee
 
Hiyo 4500 kanywe nayo pombe upunguze mawazo Kisha uanze Tena kusevu Kwenye hicho hicho kibubu na uwe makini zaidi.
 
Back
Top Bottom