Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Huko nako gharama hazikwepekiLakini gest SI tulikubaliana ni AIR BNB
MamaaaaKile kijiji ni kycroshkokav huko Russia😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko nako gharama hazikwepekiLakini gest SI tulikubaliana ni AIR BNB
MamaaaaKile kijiji ni kycroshkokav huko Russia😀
Mimi wangu GuDume unamfahamu?Utakua umemsaidia Bujibuji Simba Nyamaume kutunza pesa zake 🤣🤣
Nimpige chini halafu mzabzab afurahiHuyo Tena😃😃😃
Kinakaribia kujaa je kina kiasi ganUlikuwa unaweka noti au coins?
Kibubu changu cha coins na karibu kinajaa, toka December 2021.
NdioVampire 🧛♂️
Nimevunja kibubu muda huu, kibubu nilichodunduliza 20% ya kila nilicho kipata kwa miezi nane (nilianza pasaka) nimekuta shilingi 4'500/ kweli? Dah
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana, Mimi nlikua natunza elf kumi, nikiwa sina ten natunza elf 5 nkajakukuta elf 50 miez 3 yote, Sa hiv natunzia kweny box la Henessy kila siku nazihesabu
Ukicheza upati hata cent[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Aloooo 😂🙌🤸kibubu nacho mwiguru kakiwekea makato.
Nasikia uchawi na mambo ya pombepombe haviendani kabisabox la Henessy