Unajua ni kweli unachosema. Lakini huoni kama unampa big up shetan mkuu?Unamiliki smart phone? Huna picha zozote chafu? Hujawahi kufanya mambo mabaya?
Kuna mambo ni machafu na mabaya tunayafanya kuliko hiki kilichoandikwa hapa
Kuna mwingine huki Tanga unaitwa mti wa gundu, yaan unapelekwa kwenye mti ambao una gundu so utakachofanya chochote kinakuwa na gundu tuAaamen
Huyo yesu naye ni mganga kama kina-Mshana Jr ?njooni kwa Yesu muokolewe, ukiwa na Yesu kamwe wachawi hawatakuweza kinyume chake wataangamia!!!
AMINI!!!
ukijua ndele inavyopatikana hutatamani hata kuuonaMshana tuelezee steps za kuipata ndele,hilo nilikuwa nalisikiaga tu sijalitilia umuhimu wa kulifuatilia,mkuu tuelezee
mshana jr mbona niliwahi sikia story nyngine kabisa kuhusu hii ndele, ukienda maduka ya madawa ya kienyeji hata wakiwa nayo hawawezi kukuuzia mpaka aende mtaalamu haswa ndo wataweza muuzia, huu unga ni hatari sana na unafanya kazi kibao kuliko mwarobainiKuna wataalam wake anga hiyo ila lazima Kuna aina ya ndege lazima umpate, nimemsahau jina ila ni yule ndege dume anayetembea na kundi la ndege wa kike (wote wake)
Ni kweli ila ndele ni kipengele cha mapenzi, huko kwingine tunaita ngekewa au mvuto,...! Mvuto ni general termMshana nilikua nasoma kwa makini nilipifika kwa ndele nikajua uko vyema.
Ila ndele wanasema zipo za aina nyingi IPO ya mapenzi, pesa ,mvuto kibiashara ,siasa nk.Naomba ufafanue hapo.
Ni kweli kabisa ina process ndefu na ikifika expire date utajutamshana jr mbona niliwahi sikia story nyngine kabisa kuhusu hii ndele, ukienda maduka ya madawa ya kienyeji hata wakiwa nayo hawawezi kukuuzia mpaka aende mtaalamu haswa ndo wataweza muuzia, huu unga ni hatari sana na unafanya kazi kibao kuliko mwarobaini
Ni ile picha ya mwezi uliopita?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haaaaa!!! Ndelee! Kuna kivulana cha shule kilikamatwa eti kimenunua ndele ili kipendwe. Ilikuwa ni usukumani. Ila nishawahi kusikia kuwa ndele ni ni mwanamke. Sijui kama ni kwa kizigua au kisambaa. Kwa hiyo ukiwa na ndele unapendwa wandele!!!