Uchawi huu wa kisambaa ni noma

Uchawi huu wa kisambaa ni noma

Unamiliki smart phone? Huna picha zozote chafu? Hujawahi kufanya mambo mabaya?
Kuna mambo ni machafu na mabaya tunayafanya kuliko hiki kilichoandikwa hapa
Unajua ni kweli unachosema. Lakini huoni kama unampa big up shetan mkuu?
 
Unajua ni kweli unachosema. Lakini huoni kama unampa big up shetan mkuu?
114b5ef0f964c877bc40e1aba8cf5b5d.jpg
hebu ona hapa vyote hivi ni uumbaji wake Manani
 
Mshana nilikua nasoma kwa makini nilipifika kwa ndele nikajua uko vyema.

Ila ndele wanasema zipo za aina nyingi IPO ya mapenzi, pesa ,mvuto kibiashara ,siasa nk.Naomba ufafanue hapo.
 
njooni kwa Yesu muokolewe, ukiwa na Yesu kamwe wachawi hawatakuweza kinyume chake wataangamia!!!

AMINI!!!
Huyo yesu naye ni mganga kama kina-Mshana Jr ?
Je anapatikana wapi mkuu..?
Ikiwezekana ni-pm namba yake ya simu ili niwasiliane nae aje kunifanyia zindiko shambani kwangu..!
 
Kuna wataalam wake anga hiyo ila lazima Kuna aina ya ndege lazima umpate, nimemsahau jina ila ni yule ndege dume anayetembea na kundi la ndege wa kike (wote wake)
mshana jr mbona niliwahi sikia story nyngine kabisa kuhusu hii ndele, ukienda maduka ya madawa ya kienyeji hata wakiwa nayo hawawezi kukuuzia mpaka aende mtaalamu haswa ndo wataweza muuzia, huu unga ni hatari sana na unafanya kazi kibao kuliko mwarobaini
 
Mimi pia nina dawa za mitishamba ukiogea unakua na bahati sana kuna uwezekano hata wa kuokota gari au nyumba
 
Mshana nilikua nasoma kwa makini nilipifika kwa ndele nikajua uko vyema.

Ila ndele wanasema zipo za aina nyingi IPO ya mapenzi, pesa ,mvuto kibiashara ,siasa nk.Naomba ufafanue hapo.
Ni kweli ila ndele ni kipengele cha mapenzi, huko kwingine tunaita ngekewa au mvuto,...! Mvuto ni general term
 
mshana jr mbona niliwahi sikia story nyngine kabisa kuhusu hii ndele, ukienda maduka ya madawa ya kienyeji hata wakiwa nayo hawawezi kukuuzia mpaka aende mtaalamu haswa ndo wataweza muuzia, huu unga ni hatari sana na unafanya kazi kibao kuliko mwarobaini
Ni kweli kabisa ina process ndefu na ikifika expire date utajuta
Vile vile ndele si nzuri kwakuwa haichagui wala haibagui
 
Haaaaa!!! Ndelee! Kuna kivulana cha shule kilikamatwa eti kimenunua ndele ili kipendwe. Ilikuwa ni usukumani. Ila nishawahi kusikia kuwa ndele ni ni mwanamke. Sijui kama ni kwa kizigua au kisambaa. Kwa hiyo ukiwa na ndele unapendwa wandele!!!
 
Hivi Mtu anaweza kurogwa na zaidi ya Mtu mmoja? Ikitokea hivyo huwa inakuwaje?
 
Haaaaa!!! Ndelee! Kuna kivulana cha shule kilikamatwa eti kimenunua ndele ili kipendwe. Ilikuwa ni usukumani. Ila nishawahi kusikia kuwa ndele ni ni mwanamke. Sijui kama ni kwa kizigua au kisambaa. Kwa hiyo ukiwa na ndele unapendwa wandele!!!
Ni ile picha ya mwezi uliopita?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom