Uchawi huu wa kisambaa ni noma

Uchawi huu wa kisambaa ni noma

Mwanamke aliyewekewa ushinga akizini tu na mtu mwingine tofauti na mumewe mwanaume huyo hufa ndani ya masaa sita, na uuume wale husimama dede hata baada ya kufa.


Looooooo! balaa gani hilo!!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115]
 
Unajua kama unamwamini Mungu. kwa Mungu aliumba vitu vyote na akaweka maalifa mbalimbali. Kumbuka huyu huyu Mungu ndiye aliyeumba miti na misitu. Sasa huo uchawi utafika wapi ukilinganisha na Damu ya Yesu, katika Jina la Yesu. Eti hao hao wachawi na uchawi wao huwa wanakufa na kuoza kabisa halafu wanakutana na hukumu ya Milele.
Sio mahala pake, kahubiri kanisani
 
Mshana tuelezee steps za kuipata ndele,hilo nilikuwa nalisikiaga tu sijalitilia umuhimu wa kulifuatilia,mkuu tuelezee
 
Mshana tuelezee steps za kuipata ndele,hilo nilikuwa nalisikiaga tu sijalitilia umuhimu wa kulifuatilia,mkuu tuelezee
Kuna wataalam wake anga hiyo ila lazima Kuna aina ya ndege lazima umpate, nimemsahau jina ila ni yule ndege dume anayetembea na kundi la ndege wa kike (wote wake)
 
Duu! Wachawi wengi sana humu jf. Badala ya kupinga mambo ya kishetani ndiyo mnashangilia. Shame!
Unamiliki smart phone? Huna picha zozote chafu? Hujawahi kufanya mambo mabaya?
Kuna mambo ni machafu na mabaya tunayafanya kuliko hiki kilichoandikwa hapa
 
Kuna habari nyingi sana za uchawi wa kila kabila Hapa nchini,
Kule Tanga milimani kwa wasambaa kuna aina nyingi za uchawi lakini aina hizi Hapa ni noma acha kabisa
1; Zongo- uchawi huu unakaa machoni, mwenye nao akikuangalia tu utaumwa tumbo kufa, au akikiangalia chakula hata kipikweje hakiivi na kikiiva kinakuwa hakina ladha kabisa na watakaokila lazima matumbo yawaume sana halafu waharishe sana

2; Banyanyi; maana yake kuchonganisha, ukipigwa aina hii ya uchawi utagombana na kila mtu

Fuiza; yaani fifisha, aina hii ikikupata kila utakachofanya hakikamiliki au hakifanikiwi

Ushinga; huu huwekewa wanawake, ambazo waume zao wana wivu sana au ambao wana wasiwasi na wake zao kuwa wanacheat,
Mwanamke aliyewekewa ushinga akizini tu na mtu mwingine tofauti na mumewe mwanaume huyo hufa ndani ya masaa sita, na uuume wale husimama dede hata baada ya kufa.

Kutua nyungu; maana yake kuvunja chungu hii hufanyika sana misibani kwenye sherehe au penye mkusanyiko wa ndugu, Hapa anayefanya hivyo ni mtu ambaye anakuwa hajaridhika au kaudhiwa chochote hivyo husaga chungu na kunuizia na kumwaga ule unga wa chungu kwenye vyombo vya maji,.Yani kila atakayekunywa hayo maji hana maisha tena ni uchawi wa mass killings

Ndele; uchawi wa kukufanya mwanaume upendwe na wanawake

Huo ni baadhi tu...Wanajamii nina access ya kupata hiyo kitu mwenye kuhitaji tuwasiliane
Juzi tu nilisema huyu anawakusanya watu awatapeli, someni sentensi yake ya mwisho.

Hakika wajinga ndiyo waliwao.
 
Back
Top Bottom