Uchawi huu wa kisambaa ni noma

Uchawi huu wa kisambaa ni noma

Wa macho ndo nautaka,
Kwa sababu kuna viongozi nataka niwaondoa,
Nataka hata nikiangalia television kwangu namwangalia hadi anakufa huko aliko
 
114b5ef0f964c877bc40e1aba8cf5b5d.jpg
hebu ona hapa vyote hivi ni uumbaji wake Manani
Yes! Lakini si kuwatesa watu wa Mungu.
Mshana nilikua nasoma kwa makini nilipifika kwa ndele nikajua uko vyema.

Ila ndele wanasema zipo za aina nyingi IPO ya mapenzi, pesa ,mvuto kibiashara ,siasa nk.Naomba ufafanue hapo.
 
Wa macho ndo nautaka,
Kwa sababu kuna viongozi nataka niwaondoa,
Nataka hata nikiangalia television kwangu namwangalia hadi anakufa huko aliko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
 
Naomba niwe mkweli katika hili egentle, uchawi nilifanya zamani hata kabla sijajiunga na JF, Baadae nikaona natesa watu bila sababu na faida sipati, siku moja nuru ikaniangazia nikatubu na kuokoka nikachukua zana zangu zote na kuzichoma mimi mwenyewe

Huu ni ukweli ambao nauweka wazi leo hapa jamvini, kwasasa sifanyi tena hiyo kazi na nimejitenga na chochote kinachohusiana na uchawi, nimekuwa mtu mwema na hata maisha yangu yamekuwa na amani

Kuna siku niliweka picha ya tunguli hapa JF photos! Zilikuwa zana zangu zile ila kwasasa mimi ni wa KRISTO
Hongera mkuu mana umeamua kukaa nuruni.

Swali, mbona kuna sehemu umemjibu mtu kuwa unaweza kutoa/dude alilotupiwa... Kwa njia ipi? Unafanya maombi au miti shamba tena?!
 
Hongera mkuu mana umeamua kukaa nuruni.

Swali, mbona kuna sehemu umemjibu mtu kuwa unaweza kutoa/dude alilotupiwa... Kwa njia ipi? Unafanya maombi au miti shamba tena?!
Hebu nikumbushe hapo mahali kama nimepotoka nitaomba radhi
 
Kuna habari nyingi sana za uchawi wa kila kabila Hapa nchini,
Kule Tanga milimani kwa wasambaa kuna aina nyingi za uchawi lakini aina hizi Hapa ni noma acha kabisa
1; Zongo- uchawi huu unakaa machoni, mwenye nao akikuangalia tu utaumwa tumbo kufa, au akikiangalia chakula hata kipikweje hakiivi na kikiiva kinakuwa hakina ladha kabisa na watakaokila lazima matumbo yawaume sana halafu waharishe sana

2; Banyanyi; maana yake kuchonganisha, ukipigwa aina hii ya uchawi utagombana na kila mtu

Fuiza; yaani fifisha, aina hii ikikupata kila utakachofanya hakikamiliki au hakifanikiwi

Ushinga; huu huwekewa wanawake, ambazo waume zao wana wivu sana au ambao wana wasiwasi na wake zao kuwa wanacheat,
Mwanamke aliyewekewa ushinga akizini tu na mtu mwingine tofauti na mumewe mwanaume huyo hufa ndani ya masaa sita, na uuume wale husimama dede hata baada ya kufa.

Kutua nyungu; maana yake kuvunja chungu hii hufanyika sana misibani kwenye sherehe au penye mkusanyiko wa ndugu, Hapa anayefanya hivyo ni mtu ambaye anakuwa hajaridhika au kaudhiwa chochote hivyo husaga chungu na kunuizia na kumwaga ule unga wa chungu kwenye vyombo vya maji,.Yani kila atakayekunywa hayo maji hana maisha tena ni uchawi wa mass killings

Ndele; uchawi wa kukufanya mwanaume upendwe na wanawake

Huo ni baadhi tu...Wanajamii nina access ya kupata hiyo kitu mwenye kuhitaji tuwasiliane
Ndele naisikia sana hii
 
Kuna wataalam wake anga hiyo ila lazima Kuna aina ya ndege lazima umpate, nimemsahau jina ila ni yule ndege dume anayetembea na kundi la ndege wa kike (wote wake)
Kibondei wanamwita chamiunda si yule mwenye mkia mrefu.
 
Daaah sijui Nina ndele mana haka kamtaa wanawake wote wanani taka mpaka nataka kuhama
 
Back
Top Bottom