Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
KuombaWewe team gani hapo kuroga au kuomba?
Tuombe sana kk wanga wabaya sanaKuomba
Ikawaje?Aisee vitu vingine kama utan ivo lakin hiyo picha unaweza baki mdomo wazi mm paka alikua anakuja kunya kwenye ofisi yangu tu haendi sehem nyingine na frem zipo kibao