Uchawi Mjini Unguja: Marehemu aonekana mitaani na sokoni

Mi huwa nakereka sana sambamba na kupatwa na hasira kali kuona kuna mafundi wa haya mambo nchini, wanamchukua mtu msukule hana hata buku tatu mfukoni, pengine hata ana madeni kibao kwenye vicoba, halafu wanamuwacha Waziri Wa Fedha anazurura tu mtaani aliepandisha tozo za miamala ya simu.

Ningekua mimi ndio mwenye ufundi wa sayansi ya namna hio, basi ningewachukua misukule Mawaziri wote pamoja na makatibu wao, sambamba na Bunge zima.

Huu ni Uhujumu Uchumi na ni matumizi mabaya ya Ofisi Za Ufundi Wa Sayansi Asilia.
 
Mimi ningeanza na SABUFA
yaani jamaa ananiudhi yulee
 
Nimeuliza nikaoanisha na ulivyoniita sijaelewa.

Tanzania kuna vurugu nyingi sana hata kujibu kazi.

Watu wanazikwa wazima kwa sababu hospitali hazina vipimo.

Hapo hata wakitoka makaburini utashangaa?

Hicho kituko kilichotokea kimechunguzwa vipi kama si maigizo ya kupangwa tu?
Kwamba alizikwa mzima akajifukua akatoka? Huu ni ubishi usio na maana
 
Nimeuliza nikaoanisha na ulivyoniita sijaelewa.

Tanzania kuna vurugu nyingi sana hata kujibu kazi.

Watu wanazikwa wazima kwa sababu hospitali hazina vipimo.

Hapo hata wakitoka makaburini utashangaa?

Hicho kituko kilichotokea kimechunguzwa vipi kama si maigizo ya kupangwa tu?
Point moja tu.....

Yaani mtu azikwe(akiwa hai) halafu atoke kaburini kwa kukurupuka ?!!! 😲😲
 
😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾👍🏽 wa kwanza kumchukua yule gaidi Mwigulu Nchemba

Back
Top Bottom