T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
Hachukui round atakufa tenaHuyo dogo nilivyoambiwa yupo hai sikuamini hadi nikivyokwenda kwao kumshuhudia na uzuri wake mama yake anaruhusu umsalimie,mkuu hatari sana,ila sasa hv anameshajua kuwa alichukuliwa kimazingira na watu wabaya,aliuliwa kimazingira,inauma sana kumbe inawezekana watu kibao hawafi kikwelikweli