Uchawi Mjini Unguja: Marehemu aonekana mitaani na sokoni

Huyo dogo nilivyoambiwa yupo hai sikuamini hadi nikivyokwenda kwao kumshuhudia na uzuri wake mama yake anaruhusu umsalimie,mkuu hatari sana,ila sasa hv anameshajua kuwa alichukuliwa kimazingira na watu wabaya,aliuliwa kimazingira,inauma sana kumbe inawezekana watu kibao hawafi kikwelikweli
Hachukui round atakufa tena
 
Hachukui round atakufa tena
Mwezi w tisa huu yupo poa tu,mtaalam aliyemshughulikia anasema akifa sasa hv ni kwa uwezo wa Mungu ila sio mwanadamu,waliomfanyia kutendo hicho wamedondoka mmoja baada ya mwingine hasa pale walipojaribu kumchukua tena kimazingara pale alipoonekana kama amefufuka
 
Naam kumbe nilikuwa sahihi, salama yake ni hao nyang'au kufa

Ama sivyo wangemchukua tena

Mkimuuliza ana kumbukumbu ya huko atokako?
 
Anasema anamkumbuka mama fulani,anamtaja jina,ndio alikuwa anamchukuaga anamfunga kitambaa cheusi anamfanyisha kazi mbalimbali,huyo mama ni wa mtaani kwao
 
Wachawi bwana sijui wanapata nini na hayo mambo

Wangetusaidia kuwanyoosha wazungu wanaotuburuza daily ingependeza
 
Back
Top Bottom