Uchawi Mjini Unguja: Marehemu aonekana mitaani na sokoni

Mi huwa nakereka sana sambamba na kupatwa na hasira kali kuona kuna mafundi wa haya mambo nchini, wanamchukua mtu msukule hana hata buku tatu mfukoni, pengine hata ana madeni kibao kwenye vicoba, halafu wanamuwacha Waziri Wa Fedha anazurura tu mtaani aliepandisha tozo za miamala ya simu.

Ningekua mimi ndio mwenye ufundi wa sayansi ya namna hio, basi ningewachukua misukule Mawaziri wote pamoja na makatibu wao, sambamba na Bunge zima.

Huu ni Uhujumu Uchumi na ni matumizi mabaya ya Ofisi Za Ufundi Wa Sayansi Asilia.
 
Mimi ningeanza na SABUFA
yaani jamaa ananiudhi yulee
 
Kwamba alizikwa mzima akajifukua akatoka? Huu ni ubishi usio na maana
 
Point moja tu.....

Yaani mtu azikwe(akiwa hai) halafu atoke kaburini kwa kukurupuka ?!!! 😲😲
 
Mtu akizikwa mzima, anaweza Vip kufukua kifusi chote cha udongo na kutoka nje tena baada ya siku kadhaa toka azikwe?.

Ulitaka huo uchunguzi uletewe mezani kwako?

Siku njema
🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ‘πŸ½ wa kwanza kumchukua yule gaidi Mwigulu Nchemba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…