Uchawi na nguvu za giza katika nchi za SADC pamoja na uwezo wa Mitume na Manabii

15Century tulikua sawa kwa kila kitu,naamini elimu zao tunazitohoa zitaondoa hizi Imani,by the way tunaamini Mungu kupitia dini zao.
Ni kweli nakinachofanya had sasa tuwe hiv ni kwasababu bado tunatumia mfumo wa elim waliotuachia ila siku tutakapo anza kutumia mfomo kama wao bas 70% hawata amin katika Mungu tena
 
katika vitu nashindwa kuamini kama vipo,basi ushirikina ni cha kwanza... enewei,
"aisifiaye mvua ujue IMEMNYEA"
 


Hiyo kitaalamu inaitwa "TELEPATHY", kwa mtu anayejua wala sio jambo la kinabii bali ni elimu miongoni mwa elimu zingine kama MESMERISM na HYPNOTISM.----- siyo kitu cha ajabu hata kidogo.

Ni katika njia hiyo ya Telepathy ambapo watu huweza kumleta ndugu yao aliyepotea mbali kwa muda mrefu, hiyo siyo uchawi per se au ushirikina ni elimu kama elimu yoyote ile, ila wachache sana are able to practice,

Elimu hiyo inatoa athari iliyokusudiwa kwa mlengwa akiwa mbali baada ya kupatikana vitu/vifaa mfano nguo zake nk, ambapo vifaa hivyo hufanyiwa kazi kusudiwa, kwa case ya hiyo post yako hiyo barua ndiyo ilikuwa kifaa chenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…