Uchawi sensa; Makarani wakosa nyumba na kukuta miti na vichaka

amadala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Posts
4,265
Reaction score
12,268
Uchawi.PNG

Mratibu wa Sensa ya Watu na Makazi Wilaya ya Igunga, Ally Hemed amesema moja kati ya changamoto kubwa iliyojitokeza Wilayani humo kwa baadhi ya maeneo ni Makarani wa Sensa kukutana na vitendo vya kishirikina ambapo walipokuwa wakienda kwenye makazi au nyumba wanakutana na miti au vichaka badala ya kuona makazi halisi.

“Baada ya kuonesha dhahiri jambo hili litaathiri zoezi la Sensa, Mwenyekiti wa Kamati ya Sensa Igunga ambaye ni Mkuu wa Wilaya, Sauda Mtondoo alifunga safari kwenda kuonana na Wazee Wilayani humo na kuelezea kadhia hiyo ndipo wakatoa baraka zao na baadaye Makarani walipokuwa wakienda kufanya kazi hiyo ya Sensa walikuta makazi na kuwakuta Watu halisi badala ya vichaka na miti”

Mkuu huyo wa Wilaya ya Igunga amesema tukio hilo liliwapa somo na kujua umuhimu wa kuonana na Viongozi wa kimila na Wazee kabla ya kufanya chochote.

Kwa upanede wa Wilya ya Tabora Mjini changamoto ilikuwa ni Mtemi wa Jamii inayoishi kwenye Hifadhi ya Igombe iliyopo jirani na Kijiji cha Ikomwa kuzia Watu wake wasikubali kuhesabiwa jambo ambalo Mkuu wa Wilaya hiyo, Paul Chacha alifika kuongea na Mtemi huyo akimueleza umuhimu wa Sensa ambapo alikubali kuwaondoa Watu wake ndani ya Hifadhi ili kusogea Kijiji jirani na wakahesabiwa.
 
😂😂Sasa hawa hawezi toa tozo kwenye miamala..kugeuza nyumba miti ndio nini😊
 
Natamani hii teknolojia ingetumika kwenye chaguzi ili kuheshimu haki za wapigakura
 
Badala ya kuwafanya viongozi wawe wanasikiliza maombi ya wananchi na kuyafanyia kazi kwa wakati wao wanageuza nyumba kuwa miti 😄 nyumba zenyewe za miti
Nguvu imeoelekwa kwenye vitu visivyo vya msingi🤣
 
Huu uchawi ungetumika kushusha hali ya umaskini na kuwaongezea vipato ningewaona wana akili.
Uchawi ni umasikini hivyo hauwezi kushusha hali ya umasikini

Kazi ya uchawi ni kurudisha nyuma maendeleo ya watu
 
😂😂Sasa hawa hawezi toa tozo kwenye miamala..kugeuza nyumba miti ndio nini😊
Mimi nafikiri wangewageuza wanachukua chako mapema (ccm) wote miti Ili tupate ahueni na tupate watawala wapya 🤸🏿‍♀️🤸🤸🏿‍♀️🤸🤸🏿‍♀️🤸🤸🏿‍♀️🤸
 
Uchawi ni umasikini hivyo hauwezi kushusha hali ya umasikini

Kazi ya uchawi ni kurudisha nyuma maendeleo ya watu
Ndo wanatakiwa wajionee huruma. Umaskini ni hali ila uchawi ni tabia
 
millardayo~p~CiIH_4pNU7q~1.jpg

Ni huko Wilaya ya Igunga,Tabora.

Unaambiwa makarani wa sensa huko Igunga mkoa wa Tabora wamekumbwa na sintofahamu ya aina yake na kubaki wasijue la kufanya baada ya zoezi lao kukumbwa na mambo ya kishirikina hali iliyowafanya kutokuziona nyumba/makazi ya wananchi wa wilaya hiyo.

Unaambiwa kila walipokuwa mbali na makazi ya wana Igunga walikuwa wanayaona ajabu ya kweli kila wakiyakaribia makazi hayo yalitoweka kama uyoga na wasijue lipi la kufanya.

Vijiji kama Jininginila, Ngw'abhalaturu, Ngw'abhalogi, Ngw'amashimba na hata Ipumbulya hali ya sintofahamu ile ilitawala.

Hali hiyo ilipelekea mkuu wa Wilaya hiyo kuamua kutoka ofisini kwenda kuzungumza na wazee wa mila ndiposa hali ya kawaida iliporejea.
 
Back
Top Bottom