Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
Vipi kama wataachia vizazi vyao waendeleze?Sema Wazee Wakongwe kadiri wanavyofariki naona Hali itakuwa shwari.
Havitakuwa Quality Kama wa sasaVipi kama wataachia vizazi vyao waendeleze?
Kama siendi mlimani?Tae hakuna guest unashukia Makanya kama ni jioni sana unalala hapo asubuhi unachukua boda kwenda milimani
Nilipoona tu reply yako mtafiti nikajua utashusha data za kutosha sana.
Nilipoona tu reply yako mtafiti nikajua utashusha data za kutosha sana.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Nitarudi Tae karibuni
Uchawi unaonekanaje?
Na hata viongozi na washika dini wakubwa ni washirikina wa kutupwa[emoji23][emoji23]
Mimi nimelelewa kwenye Dini, na nimeiva Kwa kiwango cha level za Vijana wengi wa Zama hizi.
Mwanzoni nilikuwa siamini Uwepo WA uchawi.
Lakini Kwa Makanya yapo baadhi ya Matukio yaliweza kunithibitishia.
Na hata viongozi na washika dini wakubwa ni washirikina wa kutupwa
My apology[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550] Babu wangu wa Tae ni kiongozi kanisani[emoji2815] ila ndio vyuma vinavyoogopeka sana kule..[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Unajua ni Wazazi wangu Mkuu.
Nitake Radhi
ππππMy apology[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550] Babu wangu wa Tae ni kiongozi kanisani[emoji2815] ila ndio vyuma vinavyoogopeka sana kule..
Kama mshana umenyanyua mikono basi heshima mkuu,vipi liwale ngende ushawahi kufika??Wana vi note wanaandikiana vina code na saini zao. Wana ushirikiano wa ajabu sijapata kuona
Kweli aiseeNa hata viongozi na washika dini wakubwa ni washirikina wa kutupwa
Maeneo yote hayo uliyoyataja asilimia kubwa ni dhehebu la wasabato[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Tae, Mamba, Mbwambo, Suji, Vudee, Mwembe, Gonja, Ndungu, Kihurio, Mnazi mmoja, Chome, Parane.
Sema Makanya Ile Tambarare yake nzuri Sana.
Shida ni ukame.
Shida yako nini mkuu?? Mtoa post kazungumza mengi sana ya huko na mpaka mwenyeji wa huko kakili kuwa kweli kuna ushirikina lkn wewe unakomaa tu sijui tatizo niniUswahili ni shida sana. Nmeangalia mara 4 sioni mazingira ya ushirikina au kitu cha ajabu hapo. Pangekuwa tambalale then gari ikapaa kwenda kwenye nyumba tungeshangaa. Gari imeseleleka toka mlimani sasa uajabu wake nini? Tusipende kila jambo kulifanya kuwa ni issue ya kutolea mitazamo yetu au imai zetu. Jambo hili lipo wazi kabisa halina ukakasi wowote