Uchawi ulivyotamalaki milima ya Same Upareni

Shida yako nini mkuu?? Mtoa post kazungumza mengi sana ya huko na mpaka mwenyeji wa huko kakili kuwa kweli kuna ushirikina lkn wewe unakomaa tu sijui tatizo nini
Shida yangu ni kuwa nashindwa kuelewa lugha unayotumia. KAKILI maana yake nini kwa kiswahili? Pia nataka jua wewe ni yeye mwenyewe kwa ID nyingine au nanii yake?mbona kama umepanic,umeumizwa sana?una uhusiano gani na mtoa mada?je ni uhusiano halali? 😁
 
Uhusiano uwe wowote unaoujua wewe lkn punguza kuhojihoji upuuzi
 
Huwa najiuliza hawa wachawi kama wanaweza kufanya mambo kimiujiza, kwanini wasijikinge na mambo ambayo binadamu hapendi kama vile uzee, umaskini, magonjwa...... This is what I fail to understand.

Woa wame concentrate kuharibia wengine maisha tu. Au kuwapa wengine utajiri Na kama ni masharti ni nani anayepanga hayo masharti?
 
Kwamba sasa unakubaliana na mleta mada

Viongozi wa dini ndio magwiji wa nguvu giza?

Wengi wao Ila sio wote.

Chunguza watu wote wanaotuhumiwa Uchawi Wana sifa zifuatazo;

1. Waadilifu
2. Sio walevi
3. Sio watu wa kutia aibu
4. Wanakijistiri yaani wanavaa nguo za adabu.
5. Wana lugha nzuri.

Kwa ujumla Wenye tuhuma za uchawi sifa zao kitabia ni zile zile zinazofanana na Wacha Mungu.

Sema Washirikina wao ndio Wanazingua maana ndio wahuni
 
Duh!
 
Tangu niache ushirikina napiga munde nanyandua bila hofu na kwa raha zangu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna vitu viko nje ya territory Yao
 
Kiranga na nyani ngabu waende kufanya tafiti Kisha waje watuthibitishie hakuna uchawi .

Mimi nitakuwa atheist kesho yake[emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aiseee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…