amekosea daimond awaombe msamaha watu wambeya
miss strong@nifah
Bado unasikia mwangwi wakuzomewa.....huna lolote.
miss strong una mahaba hadi shetani anayaogopa! Binafsi sina husuda kwa Ali K wala Diamond lakini namkubali zaidi Diamond kutokana na anavyojituma as compared na Ali K! miss strong, tuache ushabiki pembeni... hivi nini cha maana alichofanya Ali K kwenye ile show hadi tushawishike kwamba alimkalisha Diamond? Pili, mie nimeshahudhuria show za Diamond lakini lazima nikiri jana hakufanya vizuri na wala haioneshi kwamba alikusudia kufanya vizuri yeye ni shost ake Davido! Pamoja na yote hayo, zungumza na nafsi yako hata usipotoa jibu hapa... hivi kweli unaamini kabisa ile show sub standard ya Diamond ilikuwa mbaya maradufu kulinganisha na show ya Kiba?Ally k nina zawadi yako.......njoo unywe supu isiyochemshwa uzidi kunoa sauti hyo.
Dar kumejaa mafukara na masikini wa kutupwa wanaoshindia mihogo ya kukaanga na miguu ya kuku.. Hao ndio hawampendi Diamond kwa sababu ana pesa
amekosea daimond awaombe msamaha watu wambeya
miss strong@nifah
Mmmhhhh! Mimi ndio nasikia leo
miss strong una mahaba hadi shetani anayaogopa! Binafsi sina husuda kwa Ali K wala Diamond lakini namkubali zaidi Diamond kutokana na anavyojituma as compared na Ali K! miss strong, tuache ushabiki pembeni... hivi nini cha maana alichofanya Ali K kwenye ile show hadi tushawishike kwamba alimkalisha Diamond? Pili, mie nimeshahudhuria show za Diamond lakini lazima nikiri jana hakufanya vizuri na wala haioneshi kwamba alikusudia kufanya vizuri yeye ni shost ake Davido! Pamoja na yote hayo, zungumza na nafsi yako hata usipotoa jibu hapa... hivi kweli unaamini kabisa ile show sub standard ya Diamond ilikuwa mbaya maradufu kulinganisha na show ya Kiba?
Let me be honest to you! Kwa muziki wa studio, Ali Kiba ni mzuri... huenda (hard to tell) akamfunika Diamond lakini linapokuja suala la entertainment, mpendwa wako Ali KIba yupo hovyo sana... the guy isn't entertainer at all kwahiyo linapokuja suala la muziki wa jukwaani, Diamond yupo mbali sana as compared to Ali Kiba... yale ya jana ni ushabiki tu, there's nothing from K... ila kwavile kulikuwa na haters ambao wengi wao wala hawana sababu za msingi; ndo hivyo tena watu mkajitoa kushangilia hata ambacho hakikupaswa kushangiliwa... it's like issue ya Jide na Mwana-FA; haters wa Clouds wote wakabadilika na kuwa mashabiki wa Jide na ku-turn against FA! Wanikumbusha pale watu walipokuja juu, eti oh, anajifanya amemtoa Davido.... aaaaaaargh, nyie watu vipi?? Davido mwenyewe hajalalamika kwamba Diamond anatangaza kwamba amemtoa, lakini akina miss strong mwaja juu!!Watu tumekuwa na hisia zaidi kutokana na kashfa alizotoa huyu bwana mdogo.Kwahyo hata kama show haikuwa nzuri kivile kwa wote ki ujumla ila Kiba alijitahidi.
Ila Kiba ni mwanamuziki mzuri zaidi ukimlinganisha na huyo Dai
Mafukara kama wewe hamumpendi Diamond kwa sababu ana.pesa wakati nyie mnaishia kula miguu ya kuku huko manzese
Watafanya kila wanaloweza lakini diamond ni level nyingine
kama mbeya hakuna hotel yake basi mashabiki wake katika mikoa mingi wasitegemee kumwona kwani nadhani Songea, Tabora, Rukwa, Iringa, Njombe, Lindi, Singida, Shinyanga hata kwao Kigoma hakutakuwa na hotel ya hadhi yake.....hizo ni dharau, ina maana mbeya hakuna hotel hata moja ambayo angalau inalingana kwa hadhi na makazi yake pale Sinza...mh sidhaniamekosea daimond awaombe msamaha watu wambeya
miss strong@nifah
Na watu wa mbeya, wanyaki walivyo proud na vitu vya kwao, aisee wakisikia hiyo kauli atapoteza mashabiki wengi pande za mbeya na siku akitokea huko atapigwa mawe kama walivyopigwa yanga wakati wa mechi na mbeya cityamekosea daimond awaombe msamaha watu wambeya
miss strong@nifah
Yaani wewe ndo diamond mwenyewe maana kauli zenu ndo hzo hzo......hao wala miguu ya kuku ndo walitoa kiingilio chao na kuingia hapo leaders.Wanapaswa waheshimiwe
Na watu wa mbeya, wanyaki walivyo proud na vitu vya kwao, aisee wakisikia hiyo kauli atapoteza mashabiki wengi pande za mbeya na siku akitokea huko atapigwa mawe kama walivyopigwa yanga wakati wa mechi na mbeya city
Unajiita mjanja unatukan mtu usio mjua unamwita fukara... ni ujanja wa songea uo
Mafukara kama wewe hamumpendi Diamond kwa sababu ana.pesa wakati nyie mnaishia kula miguu ya kuku huko manzese
Mkuu nimefuatilia post zako ila tulio wengi tunasumbuliwa na unafiki.Let me be honest to you! Kwa muziki wa studio, Ali Kiba ni mzuri... huenda (hard to tell) akamfunika Diamond lakini linapokuja suala la entertainment, mpendwa wako Ali KIba yupo hovyo sana... the guy isn't entertainer at all kwahiyo linapokuja suala la muziki wa jukwaani, Diamond yupo mbali sana as compared to Ali Kiba... yale ya jana ni ushabiki tu, there's nothing from K... ila kwavile kulikuwa na haters ambao wengi wao wala hawana sababu za msingi; ndo hivyo tena watu mkajitoa kushangilia hata ambacho hakikupaswa kushangiliwa... it's like issue ya Jide na Mwana-FA; haters wa Clouds wote wakabadilika na kuwa mashabiki wa Jide na ku-turn against FA! Wanikumbusha pale watu walipokuja juu, eti oh, anajifanya amemtoa Davido.... aaaaaaargh, nyie watu vipi?? Davido mwenyewe hajalalamika kwamba Diamond anatangaza kwamba amemtoa, lakini akina miss strong mwaja juu!!