Uchawi umedunda kwa Ally Kiba

Uchawi umedunda kwa Ally Kiba

amekosea daimond awaombe msamaha watu wambeya
miss strong@nifah

Yule na jeuri zake sasa hivi anajisikia hawezi kuomba msamaha
Jana alikasirikaje????hivi hajapost kitu insta kweli....Mimi nimelog out tokea majuzi
 
Last edited by a moderator:
Ally k nina zawadi yako.......njoo unywe supu isiyochemshwa uzidi kunoa sauti hyo.
miss strong una mahaba hadi shetani anayaogopa! Binafsi sina husuda kwa Ali K wala Diamond lakini namkubali zaidi Diamond kutokana na anavyojituma as compared na Ali K! miss strong, tuache ushabiki pembeni... hivi nini cha maana alichofanya Ali K kwenye ile show hadi tushawishike kwamba alimkalisha Diamond? Pili, mie nimeshahudhuria show za Diamond lakini lazima nikiri jana hakufanya vizuri na wala haioneshi kwamba alikusudia kufanya vizuri yeye ni shost ake Davido! Pamoja na yote hayo, zungumza na nafsi yako hata usipotoa jibu hapa... hivi kweli unaamini kabisa ile show sub standard ya Diamond ilikuwa mbaya maradufu kulinganisha na show ya Kiba?
 
Watu tumekuwa na hisia zaidi kutokana na kashfa alizotoa huyu bwana mdogo.Kwahyo hata kama show haikuwa nzuri kivile kwa wote ki ujumla ila Kiba alijitahidi.

Ila Kiba ni mwanamuziki mzuri zaidi ukimlinganisha na huyo Dai
 
Let me be honest to you! Kwa muziki wa studio, Ali Kiba ni mzuri... huenda (hard to tell) akamfunika Diamond lakini linapokuja suala la entertainment, mpendwa wako Ali KIba yupo hovyo sana... the guy isn't entertainer at all kwahiyo linapokuja suala la muziki wa jukwaani, Diamond yupo mbali sana as compared to Ali Kiba... yale ya jana ni ushabiki tu, there's nothing from K... ila kwavile kulikuwa na haters ambao wengi wao wala hawana sababu za msingi; ndo hivyo tena watu mkajitoa kushangilia hata ambacho hakikupaswa kushangiliwa... it's like issue ya Jide na Mwana-FA; haters wa Clouds wote wakabadilika na kuwa mashabiki wa Jide na ku-turn against FA! Wanikumbusha pale watu walipokuja juu, eti oh, anajifanya amemtoa Davido.... aaaaaaargh, nyie watu vipi?? Davido mwenyewe hajalalamika kwamba Diamond anatangaza kwamba amemtoa, lakini akina miss strong mwaja juu!!
 
There is only one way to become champion; never f---ing lose...
Nilijua huyu Diamond watu wanamchukia bila sababu lakini sikujua kuna wanaomchukia to this extent.
Nadhani ana kitu cha ziada ndiyo maana hii imekuwa habari kweli.
 
Watafanya kila wanaloweza lakini diamond ni level nyingine

There's Climax to everything !
Any way

TEMEKE SHOW ''Nash MC - Zuzu'' Fiesta sijui Zimaaaaaaa
 
Attachments

  • T56h.jpg
    T56h.jpg
    122.6 KB · Views: 344
amekosea daimond awaombe msamaha watu wambeya
miss strong@nifah
kama mbeya hakuna hotel yake basi mashabiki wake katika mikoa mingi wasitegemee kumwona kwani nadhani Songea, Tabora, Rukwa, Iringa, Njombe, Lindi, Singida, Shinyanga hata kwao Kigoma hakutakuwa na hotel ya hadhi yake.....hizo ni dharau, ina maana mbeya hakuna hotel hata moja ambayo angalau inalingana kwa hadhi na makazi yake pale Sinza...mh sidhani
 
amekosea daimond awaombe msamaha watu wambeya
miss strong@nifah
Na watu wa mbeya, wanyaki walivyo proud na vitu vya kwao, aisee wakisikia hiyo kauli atapoteza mashabiki wengi pande za mbeya na siku akitokea huko atapigwa mawe kama walivyopigwa yanga wakati wa mechi na mbeya city
 
Mawe Mbeya ni kawaida hasa kwa uchoko kama huu ! Na nna amini hatoweza kufika kama ana akili timamu !

Mwaka 2008

Kikwete Apigwa Mawe ''Mbeya''

Mwaka 2009
Mwege wa uhuru walazimika kubadili njia Ghafla mara baada ya dalili za uvunjifu wa amani ''Mbeya''

Mwaka 2010

Mke wa kikwete mama salma Azomewa

Mwaka 2012

Mheshimiwa Shamsi V'uai Nahodha Apigwa Mawe 'Mbeya' > Tunduma
 
Mafukara kama wewe hamumpendi Diamond kwa sababu ana.pesa wakati nyie mnaishia kula miguu ya kuku huko manzese

Mbona Jide ana pesa kuliko huyo Diamond na hazomewi?! Uwe na kawaida ya kupingana na hali halisi.
Onesho lilikuwa hadharani kila mtu kaona Diamond alivyoanza show vibaya na kufanya akose kabisa wa kumshangilia.
Kiba aliingia vizuri sana na kuimbisha vizuri umati, hivyo alistahili kabisa kumkalisha Diamond, wala usipate shida ya kusaka mchawi.
Achana na mambo ya kumshabikia Diamond kama dini, ukahisi kuwa yuko sahihi wakati wote au akafanya vizuri kila siku. Yeye ni binadamu tu kama wengine, anakosea na kupatia pia.
Ova
 
Let me be honest to you! Kwa muziki wa studio, Ali Kiba ni mzuri... huenda (hard to tell) akamfunika Diamond lakini linapokuja suala la entertainment, mpendwa wako Ali KIba yupo hovyo sana... the guy isn't entertainer at all kwahiyo linapokuja suala la muziki wa jukwaani, Diamond yupo mbali sana as compared to Ali Kiba... yale ya jana ni ushabiki tu, there's nothing from K... ila kwavile kulikuwa na haters ambao wengi wao wala hawana sababu za msingi; ndo hivyo tena watu mkajitoa kushangilia hata ambacho hakikupaswa kushangiliwa... it's like issue ya Jide na Mwana-FA; haters wa Clouds wote wakabadilika na kuwa mashabiki wa Jide na ku-turn against FA! Wanikumbusha pale watu walipokuja juu, eti oh, anajifanya amemtoa Davido.... aaaaaaargh, nyie watu vipi?? Davido mwenyewe hajalalamika kwamba Diamond anatangaza kwamba amemtoa, lakini akina miss strong mwaja juu!!
Mkuu nimefuatilia post zako ila tulio wengi tunasumbuliwa na unafiki.

Ni upuuzi kusema kwa sasa Kiba yupo juu ya Domo labda ujitoe ufahamu.

Wengi wao wanaomshangilia Kiba bila kujielewa na wanamponda Domo bila sababu za msingi
 
Back
Top Bottom