Let me be honest to you! Kwa muziki wa studio, Ali Kiba ni mzuri... huenda (hard to tell) akamfunika Diamond lakini linapokuja suala la entertainment, mpendwa wako Ali KIba yupo hovyo sana... the guy isn't entertainer at all kwahiyo linapokuja suala la muziki wa jukwaani, Diamond yupo mbali sana as compared to Ali Kiba... yale ya jana ni ushabiki tu, there's nothing from K... ila kwavile kulikuwa na haters ambao wengi wao wala hawana sababu za msingi; ndo hivyo tena watu mkajitoa kushangilia hata ambacho hakikupaswa kushangiliwa... it's like issue ya Jide na Mwana-FA; haters wa Clouds wote wakabadilika na kuwa mashabiki wa Jide na ku-turn against FA! Wanikumbusha pale watu walipokuja juu, eti oh, anajifanya amemtoa Davido.... aaaaaaargh, nyie watu vipi?? Davido mwenyewe hajalalamika kwamba Diamond anatangaza kwamba amemtoa, lakini akina miss strong mwaja juu!!