Uchawi umedunda kwa Ally Kiba


Lakini si ndio hao hao waliomuweka juu baada ya kukubali terms and conditions zao.Dogo achukulie hiyo ni changamoto na aibadilishe kuwa fursa, akianza kumtafuta mchawi atapoteza muda.
 
Wabongo bhana.sijui tutabadilika lini?kweli tutaendelea kuwa masikini hivi hivi kwa ujuma na usuda wa sababu za hovyo.wivu huo wote tuh.

Nimwone wivu mtu ambae atapitiliza jehanmu bila ata kuhojiwa na Mungu... Bora Mimi ntasimama kuorodhesha dhambi zangu.. Kuliko yeye ambaye ataonekana anapoteza muda...... Kweendraaaaaaaaaaaaaa!!!!
 

We mwenyewe ni mmoja wao... Ndo mana umeacha mambo yako ya msingi lakini vidole vimekuwasha ukaja hapa kwa wadhifa wa ushabiki......
 
Na watu wa mbeya, wanyaki walivyo proud na vitu vya kwao, aisee wakisikia hiyo kauli atapoteza mashabiki wengi pande za mbeya na siku akitokea huko atapigwa mawe kama walivyopigwa yanga wakati wa mechi na mbeya city

Nadhani hatokuja maana..... Atageuzwa hadi kugeuzwa!!!!
 
Wala miguu ya kuku na utumbo wa kuku wa Dar ndio hawampendi Diamond kwa sababu amewazidi kipato na umaarufu.. Huku mikoani kwa wajanja wote wanamkubali Diamond

Maneno yako ya shombo ndio yanayokufanya uzomewe
 

Attachments

  • 1413809559472.jpg
    43.6 KB · Views: 122
Unajiita mjanja unatukan mtu usio mjua unamwita fukara... ni ujanja wa songea uo

Achana nae bana huyo ni kikalagosi wake..... Songea to kigoma wapi na wapi wote wakuja yeye na uyo naseeb wake... Wamekuja town jana tuu.....
 
Tatizo watu wa Dar kula miguu ya kuku na utumbo kumewaathiri sana..Mi niko songea hapa juzi kulikuwa na uvumi wa ujio wa Diamond mji mzima ulijaa hekaheka, Huyo Ali kiba wenu hakuna anaemjua ...

Songea kuna Hotel ya hadhi ya Diamond? MnajipendekeZa kwa jitu linalowadharau watanzania kwa sababu Gani?)
 
Nashangaa mijitu ina hasira kama nini....waendee huko wasitusumbue bwana kwa raha zetu tunasherehekea kuwagaragaza

Loh,walitukalia kooni jamani wewe acha tu,Kiba kapondwa kama nini...

angezomewa kibaa hapa sijui tungejificha wapiii
nimetoka ig asa hv yaani hakunogi ujue
ni kibaaa tuuuuuu
wakitaka wamuandalia wao waende kumshangilia kazomewa kikwete sembuse daimond...!!!
 

Kakangu Miami kote huko?? Janguar tu anamkalia sio kumfunika tena.. Uyo Mond ana vihela vya chips yai tu...
 
Wala miguu ya kuku na utumbo wa kuku wa Dar ndio hawampendi Diamond kwa sababu amewazidi kipato na umaarufu.. Huku mikoani kwa wajanja wote wanamkubali Diamond

Diamond ndiyo nani bwana tumchukie,kama ni Kipato tungewachukia akina Bakhresa,Mfuruki and the like who is Diamond and why Diamond? Jiulize wanaokupandisha ndio wanakushusha
 
We fukara mi sio level yako.. Mi usafiri wangu ni Ndege Fast Jet ndani ya dakika chache nimeshafika ninakokutaka, usinifananishe na wachimba chumvi wenzako

Sante fast jet kwa kuleta nauli ya treni ukiwai kukata tiketi mana ata sisi mafukara tumejiona ni binadamu katika watu na jeuri imetujaaa............... ?
 
Na watu wa mbeya, wanyaki walivyo proud na vitu vya kwao, aisee wakisikia hiyo kauli atapoteza mashabiki wengi pande za mbeya na siku akitokea huko atapigwa mawe kama walivyopigwa yanga wakati wa mechi na mbeya city

Mbeya ulipopolewa msafara wa Kikwete sembuse Diamond?
Diamond anashindwa kuelewa kuwa hawa watu wa kawaida ndio wanaomwinua mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…