ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Diamond amechelewa tu kulitambua hilo...Clouds hua wanataka wakunyonye to the fullest..hawataki ujitegemeee na uwe na uwezo wa kusimama kama wewe...ndio maana kila siku wanajitahidi kuwabana wasanii ili wanyenyekewe....
Diamond alionyesha uwezo wa kusimama yeye kama yeye...Na hilo ni kosa kwa Clouds Fm...
JD ameyagundua hayo siku nyingi ndio maana She doesnt give a fk about the mozafks clouds fm.....
Siku ya Fiesta hata wakati Diamond anaingia ku perform MC hakusema hata vile kuwaandaa mashabiki kua Diamond anaingia....
MC hao hao kina Fetty wakashangilia sana wakati wa kumkaribisha Kiba......
Wale wazomeaji waliandaliwa...Take my word.......
Diamond pamoja na mapungufu yake...Dogo is a hustler...
Ni mfano wa kuwa ukifanya kazi kwa bidiii utafanikiwa...
Huyo kiba ni mvivu...si mbunifu...Alipata nafasi akashindwa kuitumia
Lakini si ndio hao hao waliomuweka juu baada ya kukubali terms and conditions zao.Dogo achukulie hiyo ni changamoto na aibadilishe kuwa fursa, akianza kumtafuta mchawi atapoteza muda.