Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
kama mbeya hakuna hotel yake basi mashabiki wake katika mikoa mingi wasitegemee kumwona kwani nadhani Songea, Tabora, Rukwa, Iringa, Njombe, Lindi, Singida, Shinyanga hata kwao Kigoma hakutakuwa na hotel ya hadhi yake.....hizo ni dharau, ina maana mbeya hakuna hotel hata moja ambayo angalau inalingana kwa hadhi na makazi yake pale Sinza...mh sidhani
na huko anakokudharau ndo ana washabiki
kashajiona wa uzunguni wakati watoto wa kishua wao wanamsikiliza TI ndo maana clouds walimleta kubalance