Uchawi umedunda kwa Ally Kiba

Uchawi umedunda kwa Ally Kiba

kama mbeya hakuna hotel yake basi mashabiki wake katika mikoa mingi wasitegemee kumwona kwani nadhani Songea, Tabora, Rukwa, Iringa, Njombe, Lindi, Singida, Shinyanga hata kwao Kigoma hakutakuwa na hotel ya hadhi yake.....hizo ni dharau, ina maana mbeya hakuna hotel hata moja ambayo angalau inalingana kwa hadhi na makazi yake pale Sinza...mh sidhani

na huko anakokudharau ndo ana washabiki
kashajiona wa uzunguni wakati watoto wa kishua wao wanamsikiliza TI ndo maana clouds walimleta kubalance
 
Daaaah japo ni mimi ni mpenzi wa daimond na kiba always napenda mafinikio kwa vijana kwani wanatupa changamoto hasa. Japo sijui wanapitia sehemu zipi kuongeza ufanisi wao wa kazi na bahati..ila kitendo cha nasibu abdul kwenda mbeya na kusema hakuona hotel ya hadhi yake tena ndani ya nchi hii tanzania ni kejeri kubwa sana ukiangalia yeye katokea wapi...?? Pia kitendo cha kumtangazia ali kiba kuhusu kumtafutia collabo hivi kwa nini asingekutana naye ana kwa ana wapange mambo yao paka amtangazie kwa public , hapa nasibu hata mimi ningekuzomea kwa kweli.

Kapata haki yake.Alistahili kuzomewa
 
Eti mdogo mdogo......mdogo mdogo my foot!!! Mwana ndo habari yenyewe!
Watu mpaka ringtone kwenye simu zimebadilika....kitu mwanadaresalamaaa!!!!
 
Haters hamuishiwi na vijisababu... mara oh, anajitangazia amemtoa Davido... mara oh, kasema Mbeya hakuna hotel yenye hadhi yake... hatujakaa sawa, mara oh, kasema atamsaidia Ali Kiba..... ajabu ya mwaka hakuna hata mmoja anaesema kwamba Diamond kanikosea kwa hili ama lile... yaani leo hii Diamond mathalani akimponda fulani, nyie mwaja juu.... aaaaaargh, nyie watu vipi???!!! Diamond akisema Mbagala hakuna hoteli mzuri, nyie mwakasirika.... eh! Mwanikumbusha ule wimbo wa Ngwinji Atambe... atambie kitu gani wa Nasma Hamisi... ndicho kinachowasumbua, hamna lingine!! Kuona mwenzenu yupo juu mwaumia... kisa, mwataka mumpendae ndie awe juu... nyie vipi? Kwani huyo mumtakae kashikiwa pistol abaki hapo alipo?
 
Naona topic imehamia kwa diamond kuzomewa.
Juzi tulikuwa kwa askari mapenzi wa kagera, jana miss Tanzania na umri fake leo Diamond kuzomewa.....kesho kunani...????

That's why I love Tanzania.
 
Diamond kuna kitu atakuwa amekosea na akigundua atarudi vizuri.
Ali Kiba alijua alipokosea, akarudi na sasa anarudi tena kwa kasi
 
Mawe Mbeya ni kawaida hasa kwa uchoko kama huu ! Na nna amini hatoweza kufika kama ana akili timamu !

Mwaka 2008

Kikwete Apigwa Mawe ''Mbeya''

Mwaka 2009
Mwege wa uhuru walazimika kubadili njia Ghafla mara baada ya dalili za uvunjifu wa amani ''Mbeya''

Mwaka 2010

Mke wa kikwete mama salma Azomewa

Mwaka 2012

Mheshimiwa Shamsi V'uai Nahodha Apigwa Mawe 'Mbeya' > Tunduma

Kijana kaongea kweli! Labda mbeye hakuna hotel ya hadhi yake kwa ninj asiseme, hiyo lift wamepata Juzi ba wametangaza dunia nzima
Turudi kwenye topic , hvi nyie watanzania beef ya diamond na kiba nyie ina wasaidia nini? Ebu muacheni dogo apige pesa akiwa na dharau asiwe nayo jui yake! Kwani mkiwa support wote wawili kuna ubaya gani? Ingekuwa marekani mwanamuziki akiwa kwenye chart anafanyiwa hvi nadhani mastar wengi wasingefika walipo, utakuta asilimia 100% ya watu wanaomponda diamond hapa ni watu wazima wenye watoto umri wa diamond lkn wamechezea maisha ss hv awana kitu so hasira zao wanamalizia kwa kijana, Ebu muacheni mtoto wa Mwanamke/Mwanaume mwenzenu apumue kha..!
 
Haters hamuishiwi na vijisababu... mara oh, anajitangazia amemtoa Davido... mara oh, kasema Mbeya hakuna hotel yenye hadhi yake... hatujakaa sawa, mara oh, kasema atamsaidia Ali Kiba..... ajabu ya mwaka hakuna hata mmoja anaesema kwamba Diamond kanikosea kwa hili ama lile... yaani leo hii Diamond mathalani akimponda fulani, nyie mwaja juu.... aaaaaargh, nyie watu vipi???!!! Diamond akisema Mbagala hakuna hoteli mzuri, nyie mwakasirika.... eh! Mwanikumbusha ule wimbo wa Ngwinji Atambe... atambie kitu gani wa Nasma Hamisi... ndicho kinachowasumbua, hamna lingine!! Kuona mwenzenu yupo juu mwaumia... kisa, mwataka mumpendae ndie awe juu... nyie vipi? Kwani huyo mumtakae kashikiwa pistol abaki hapo alipo?

Kula mia mkuu , ingekuwa kina Chris brown wanafanyiwa hvi kisa Usher sijui kama wangefika mbali! Hamuoni USA wanawapa support wanamuziki wote, aliyeko kwenyw chart anapewa support na Legendary anapewa heshima yake, yaani wabongo me wananiudhi tabia yao, sometimes natamani ingekuwa kama USA siku umechefukwa umechoka namaisha unachukua li SMG lako unaenda kwenye MaTamasha au Mall yao unapigapiga Risasi watu kama 200 tu waliobaki hai watatumia time iliyobaki kuishi kwa amani na upendo, yaani unafanya kama Wamarekani wanavyofanya kwenye public Places wakichenguliwa...!
 
Ally Kiba anamjua nani dunia hii?

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Ally Kiba anamjua nani dunia hii?

Sent from my SM-G800H using Tapatalk

Mimi Matola namjuwa Ally Kiba kama ndio kiboko ya Diamond na amethibitisha hivyo kwenye Fiesta kwa kumgalagaza vibaya domo, kama hupendi kunywa Jiki ukafie Uyole.
 
Mimi Matola namjuwa Ally Kiba kama ndio kiboko ya Diamond na amethibitisha hivyo kwenye Fiesta kwa kumgalagaza vibaya domo, kama hupendi kunywa Jiki ukafie Uyole.
Mkuu umevurugwaaaa kula gwaraaaa kisha nisake tukapate moya moto moya baridi.Kiba ndo habareeee ya mujiniiii wakalishe wasiojielewa
 
Wabongo bhana.sijui tutabadilika lini?kweli tutaendelea kuwa masikini hivi hivi kwa ujuma na usuda wa sababu za hovyo.wivu huo wote tuh.
 
Back
Top Bottom