Sonko Bibo
JF-Expert Member
- May 24, 2019
- 957
- 1,493
Kwanza nifahamu kwa ufupi tu neno uchawi wewe unamaanisha kitu gan kabla hatujaenda huko.Sasa mkuu ni jamii Gani hapa duniani ilifanikiwa Kwa kutumia uchawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza nifahamu kwa ufupi tu neno uchawi wewe unamaanisha kitu gan kabla hatujaenda huko.Sasa mkuu ni jamii Gani hapa duniani ilifanikiwa Kwa kutumia uchawi
Huo sio uchawi, nilidhani unazungumzia zile supernatural powers like Cultivation skills Meditations and co.Ni tricks za psychological
Hapo kwenye kutumia chupa sasa!Wema wa Sepetu angekuwa na watoto lukuki.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu unamaanisha nini
Hajakutana na watu wenye maarifa sahihi ya Ki afya wakamsaidia , . Kazungukwa na waganga na matapeli ya mjini.Hapo kwenye kutumia chupa sasa!Wema wa Sepetu angekuwa na watoto lukuki.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu jazia nyamasayans inaanzia pale uchaw ulipoishia chunguza kw makin utaelew !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchawi huujuiNdio hizo hizo mkuu SEMA in extremely way
Usiombe ukute mchawi ana akili nyingi atakusumbua sana,usiombe kabisa.Hivi kati ya anaetumia akili sana na anaetumia uchawi sana yupi hutoboa fasta? Vipi ukichanganya akili na uchawi unapata nini?
Je wewe una amini uchawi upo?Uchawi unategemea imani, wakati akili inategemea ushahidi.
.
Ushahidi upo GamboshiJe wewe una amini uchawi upo?
Kama unaamini unaweza kuleta ushahidi.