Uchawi wa kuwa maarufu kama mr nice au diamond

Uchawi wa kuwa maarufu kama mr nice au diamond

Ndege mchawi,enzi za utoto wetu tuliaminishwa ukipata hata unyoya wake then unavizia alipokojoa dem unaenda kuuchoma huo unyoya hapo lazima umpate huyo dem,utoto bhana raha sana,kimbembe ss kupata huo unyoya ukimuweka kwenye target lazima hio manati ikatike
 
Kuna babu wa jirani yangu anafuga hao ndege lakini hana umaarufu wowote.

Kuamini utajiri wa kishirikina ni uvivu wa fikra.
 
Ni kweli dawa za giza za kukufanya uwe mtu fulani zipo na zitaendelea kuwepo.
MTAZAMO WANGU:
Kama una kipaji kikubwa, unajiamini na una mtu professional mwenye fani ya kukutangaza, haina haja ya hizo dawa.
Ila kama una kipaji au huna kipaji bila kujalisha mtu wa kukutangaza halafu hujiamini, hapo ndiyo utumie hizo dawa.
Ukitumia nguvu za kipaji za kibinadamu unafanikiwa wastan ,ila ulitaka uende mbali kupitiliza aidha ushirikiane na mungu au Giza ,tunaoushahidi wa kukiri mwenyewe watu maarufu Aidha walimuomba mungu au zilitumika nguvu hizi,na sio kushawishi watu wasiwe na juhudi kazini tu wawe na maisha ya kiroho pia ,mi nimekuja tanga ndo naambiwa Mr nice a
Kwahiyo Diamond alimshika akiwa hai?
huyo sijaambiwa ila naongelea level hiyo ya umaarufu,mzee alienisimulia kamtaja Mr nice na wanaijua hii story hata watu wake wa karibu
 
Kuna ndege mdogo anamjua mrefu anaspidi sana na kumkamata ni kazi sana.
Unachotakiwa ni kumkamata akiwa hai kisha unampeleka kwa fundi wanaojua ni wachache tanga na bagamoyo ila ukiulizia humkosi ukimpata ndege huyo anatengenezwa na mtu Fulani unamla basi utakuwa maarufu balaa.
Ndege huyu ukimuona

View attachment 1134268View attachment 1134270apita mahali nyuma hufuatwa na kundi kubwa la ndege wasioaina yake yaani ananguvu za uongozi wa kiasili Kuna mbinu inatumika kuhamishia nguvu hivvu hiyo kwako kama mwanasiasa unapigwa uwaziri wiki haiishi
Kuna njia nyingi za kupata maendeleo..ila afrika itachelewa sana kuyapata paka itakapoacha kuchukulia ushirikina(imani potofu) kama moja ya njia.
 
Kuna njia nyingi za kupata maendeleo..ila afrika itachelewa sana kuyapata paka itakapoacha kuchukulia ushirikina(imani potofu) kama moja ya njia.
ulaya ndo wanatumia njia hizi kuliko Africa ,mwezi ulopita alikuwa longido nilishuhudia wazungu wamekuja kwa mganga anaitwa olsodo,wameenda kununua uchawi ,nenda bagamoyo uone hapo wazungu wanaotiririka kwa waganga
 
Ushirikina ni njia tu ya kujiridhisha kimawazo, na hauna influence yeyote kwenye physical world.
 
Ushirikina ni njia tu ya kujiridhisha kimawazo, na hauna influence yeyote kwenye physical world.
Unajua uislamu na ukristo pia ni ushirikina,ushirikina ni njia nje ya science
 
Unajua uislamu na ukristo pia ni ushirikina,ushirikina ni njia nje ya science
Hauko sawa, maana ya ushirikina ni imani potofu. Hakuna mafundisho ya dini yenye lengo la kumpoteza mtu
 
Hauko sawa, maana ya ushirikina ni imani potofu. Hakuna mafundisho ya dini yenye lengo la kumpoteza mtu
Mfano mm naabudu mto nani anaamua hii imani potofu na hii sio,na imani ya kuabudu mto inakataza maovu kama ukristo na uislamu au imani sahihi ni ikitoka ulaya na uarabuni?
 
Mfano mm naabudu mto nani anaamua hii imani potofu na hii sio,na imani ya kuabudu mto inakataza maovu kama ukristo na uislamu au imani sahihi ni ikitoka ulaya na uarabuni?
Mfano:
Mafundisho ya dini yamelenga kushape mazingira na maisha ya muumini kwa ujumla, ndio maana muumini mzuri pia ni mwanajamii/mwananchi mzuri.. Hivyo dini haiwezi kuwa imani potofu maana ina impact in a physical world.
The point sio kuabudu tu bali pia kile utakachokipata that will make u a better person katika ulimwengu unaoonekana.

Imani inayokuambia ule ndege ili upate mafanikio ni imani potofu maana hakuna uhusiano wa kula ndege na mafanikio, lakini imani inayokwambia asiyefanya kazi na asile sio imani potofu maana huwezi pata msosi bila kufanya kazi.
 
Usemacho ni kweli,nimekulia Moshi mjini tulikuwa tukiwakamata kwenye mapoli mimi na wajomba zangu utototni na nimewala sana ni watamu ajabu,huenda ndio sababu nina nguvu flani za kiuongozi manake kila nitakapokuwepo automatically naonekana kama kiongozi na huwa nafuatwa na kundi la watu.
[emoji23][emoji23] mkuu sina huyu ndege ila najua mapori wanapopatikana.... Nipo Arusha na Moshi
 
Back
Top Bottom