[emoji23][emoji23] mkuu sina huyu ndege ila najua mapori wanapopatikana.... Nipo Arusha na Moshi
Vipi wazito nnaweza nikapata mayai yake wakuu?!
Mayai yake ni madogo sana.. Unataka uyafanyie nnVipi wazito nnaweza nikapata mayai yake wakuu?!
Wewe uko wapiMapori gani hayo tuingie mzigoni Chap
Mayai yake ni madogo sana.. Unataka uyafanyie nn
Huwa yana saidia sana mtu kupata kazi mapema kama ukiyameza mabichi mida ya mchana ukweni.Ya kazi gani mzee baba
Ukitumia nguvu za kipaji za kibinadamu unafanikiwa wastan ,ila ulitaka uende mbali kupitiliza aidha ushirikiane na mungu au Giza ,tunaoushahidi wa kukiri mwenyewe watu maarufu Aidha walimuomba mungu au zilitumika nguvu hizi,na sio kushawishi watu wasiwe na juhudi kazini tu wawe na maisha ya kiroho pia ,mi nimekuja tanga ndo naambiwa Mr nice aNi kweli dawa za giza za kukufanya uwe mtu fulani zipo na zitaendelea kuwepo.
MTAZAMO WANGU:
Kama una kipaji kikubwa, unajiamini na una mtu professional mwenye fani ya kukutangaza, haina haja ya hizo dawa.
Ila kama una kipaji au huna kipaji bila kujalisha mtu wa kukutangaza halafu hujiamini, hapo ndiyo utumie hizo dawa.
huyo sijaambiwa ila naongelea level hiyo ya umaarufu,mzee alienisimulia kamtaja Mr nice na wanaijua hii story hata watu wake wa karibuKwahiyo Diamond alimshika akiwa hai?
Kuna njia nyingi za kupata maendeleo..ila afrika itachelewa sana kuyapata paka itakapoacha kuchukulia ushirikina(imani potofu) kama moja ya njia.Kuna ndege mdogo anamjua mrefu anaspidi sana na kumkamata ni kazi sana.
Unachotakiwa ni kumkamata akiwa hai kisha unampeleka kwa fundi wanaojua ni wachache tanga na bagamoyo ila ukiulizia humkosi ukimpata ndege huyo anatengenezwa na mtu Fulani unamla basi utakuwa maarufu balaa.
Ndege huyu ukimuona
View attachment 1134268View attachment 1134270apita mahali nyuma hufuatwa na kundi kubwa la ndege wasioaina yake yaani ananguvu za uongozi wa kiasili Kuna mbinu inatumika kuhamishia nguvu hivvu hiyo kwako kama mwanasiasa unapigwa uwaziri wiki haiishi
ulaya ndo wanatumia njia hizi kuliko Africa ,mwezi ulopita alikuwa longido nilishuhudia wazungu wamekuja kwa mganga anaitwa olsodo,wameenda kununua uchawi ,nenda bagamoyo uone hapo wazungu wanaotiririka kwa wagangaKuna njia nyingi za kupata maendeleo..ila afrika itachelewa sana kuyapata paka itakapoacha kuchukulia ushirikina(imani potofu) kama moja ya njia.
Ushirikina ni njia tu ya kujiridhisha kimawazo, na hauna influence yeyote kwenye physical world.ulaya ndo wanatumia njia hizi kuliko Africa ,mwezi ulopita alikuwa longido nilishuhudia wazungu wamekuja kwa mganga anaitwa olsodo,wameenda kununua uchawi ,nenda bagamoyo uone hapo wazungu wanaotiririka kwa waganga
Hauko sawa, maana ya ushirikina ni imani potofu. Hakuna mafundisho ya dini yenye lengo la kumpoteza mtuUnajua uislamu na ukristo pia ni ushirikina,ushirikina ni njia nje ya science
Mfano mm naabudu mto nani anaamua hii imani potofu na hii sio,na imani ya kuabudu mto inakataza maovu kama ukristo na uislamu au imani sahihi ni ikitoka ulaya na uarabuni?Hauko sawa, maana ya ushirikina ni imani potofu. Hakuna mafundisho ya dini yenye lengo la kumpoteza mtu
Mfano:Mfano mm naabudu mto nani anaamua hii imani potofu na hii sio,na imani ya kuabudu mto inakataza maovu kama ukristo na uislamu au imani sahihi ni ikitoka ulaya na uarabuni?
[emoji23][emoji23] mkuu sina huyu ndege ila najua mapori wanapopatikana.... Nipo Arusha na Moshi