Uchawi wa kuwa maarufu kama mr nice au diamond

Mkuu kuna fundi yeyote unae mfahamu alie mkweli na mtaalamu katika hizi kazi?
ulaya ndo wanatumia njia hizi kuliko Africa ,mwezi ulopita alikuwa longido nilishuhudia wazungu wamekuja kwa mganga anaitwa olsodo,wameenda kununua uchawi ,nenda bagamoyo uone hapo wazungu wanaotiririka kwa waganga
 
Hao unao wachukulia poa ndio wanaroga balaa. Kwanza mzungu haamini kama kuna Mungu.
Kuna njia nyingi za kupata maendeleo..ila afrika itachelewa sana kuyapata paka itakapoacha kuchukulia ushirikina(imani potofu) kama moja ya njia.
 
Hao unao wachukulia poa ndio wanaroga balaa. Kwanza mzungu haamini kama kuna Mungu.
Tafuta historia ya dini zote unazozifahamu zinazo amini Mungu af uje tuendelee.
 
Kimbembe nadhani ni kupata sehemu aliyekojoa demu ambaye unampenda....ni kazi kubwa sana hiyo kama kubeba lorry la mchanga kichwani...
 
kuna watu humu wasenge sana..yani anajifanya kasoma na ana assume uchawi haupo,,anaenda mbali nakusema waafrika tuko nyuma sababu ya imani hiyo..SASA KWA TAARIFA YAKO WACHINA WANANUNUA MISUKULE YA KUSAIDIA KUJENGA MIJENGO....SAsa we kaa na kadegree kako ulikosomea historia ya mkwawa..majimaji war,,logical reasoning,,na hutajua mengi kwa kufumbwa na ujinga wa elimu yako...hahaahaaaa
 
Ukisikia Paaah ndio hii sasa
 
Mkuu umeongea. Hakuna watu walozi kama wachina. Maendeleo yao tunayashadadia tu ila hawa jamaa hawagusiki ni moto wa kwenda mbali
 
Nimekupenda bure ,yaani elimu ingekuwa suluhisho basi maprofesa wa ngekuwa matajiri ila inapaswa utumie maarifa anuai kumaliza mambo
 
Achia mgongo tukutilie dawa ya umaarufu na mambo yako yatakuwa swaaafi.
 
Mnashindwa kuelewa sababu za kisanyansi za huyo ndege kufatwa na ndege wenzake??

Moja ni huo mkia wake, umekaa kama kabeba nyoka, na ndege wanatabia ya kuitana wanapoona nyoka. Si amini kama humfuata kwa mapenzi ika humkimbiza wakidhani nyoka
 
Nimekupenda bure ,yaani elimu ingekuwa suluhisho basi maprofesa wa ngekuwa matajiri ila inapaswa utumie maarifa anuai kumaliza mambo
sure mkuu..shule mambo inayofundisha ni robo tu ya uhalisia wa maisha...mtu akisoma sana anaona kua kajua kila kitu...akiambiwa kua kuna watu wakipigwa risasi haziingii watabisha mpaka kufa
 
sure mkuu..shule mambo inayofundisha ni robo tu ya uhalisia wa maisha...mtu akisoma sana anaona kua kajua kila kitu...akiambiwa kua kuna watu wakipigwa risasi haziingii watabisha mpaka kufa
yap nshamuona jamaa mwanza hiyo dawa ipo njia za maji kalya kigoma
 
We jamaa acha uganga wa kienyeji kwenye karne ya 21,ebu niambie watu kama Jay Z(mwana hiphop tajiri duniani),
Michael jackson,Donald Trump,Mengi,Dangote,Mo dewji,Bakhresa,walikula huyo ndege?ndio wakawa matajiri?!
Nenda kafanye kazi,mbona wewe sio tajiri?kama kuwa maarufu na tajiri ni rahisi kiasi hicho,mbona wewe bado kapuku?
Shenzy type!yaani karne ya simu janja,unatuletea story za uganga!we kweli hamnazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…