Misako
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 1,143
- 1,399
😆😆Looh😂😂😂nami pia nimemuuliza hajanijibu😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆Looh😂😂😂nami pia nimemuuliza hajanijibu😁😁😁
Mwanzoni huwa wanasema hivi ila ikitokea sasa,, mtu anaanza kuhesabiwa magoliSijifanyi mtakatifu lakini kwangu mie naona pesa haina nafasi kubwa kwenye mahusiano
Kama kutafuta sisi wote tunazitafuta,siwezi kumdharau mpenzi kwa kumuita majina hayo uliyotaja eti kisa hana pesa ama hapo mwanzo alikuwa nazo sasa ameishiwa
Napenda mtu,utu wake kwanza sio pesa
Tuko tofauti Sana, kwako wewe unaweza kuwa hivyo ila Kuna wengine Kama huna hela hakuna thamani ya mapenzi, mapenzi yatakuwa Kama uyoga tu, utaila Kama chakula na muda mwingine ni SUMU😂,Sijifanyi mtakatifu lakini kwangu mie naona pesa haina nafasi kubwa kwenye mahusiano
Kama kutafuta sisi wote tunazitafuta,siwezi kumdharau mpenzi kwa kumuita majina hayo uliyotaja eti kisa hana pesa ama hapo mwanzo alikuwa nazo sasa ameishiwa
Napenda mtu,utu wake kwanza sio pesa
Joanah ni binti brilliant,anayejithamini ZAIDI ya mabinti wengi waliojazana MIJINI wenye mtazamo tofauti naye😂😂😂Sijifanyi mtakatifu lakini kwangu mie naona pesa haina nafasi kubwa kwenye mahusiano
Kama kutafuta sisi wote tunazitafuta,siwezi kumdharau mpenzi kwa kumuita majina hayo uliyotaja eti kisa hana pesa ama hapo mwanzo alikuwa nazo sasa ameishiwa
Napenda mtu,utu wake kwanza sio pesa
😂😂😂wanakuwa wanapandana mbele ya macho yako
Joanah ni binti brilliant,anayejithamini ZAIDI ya mabinti wengi waliojazana MIJINI wenye mtazamo tofauti naye😂😂😂
Rafiki Wa Karibu na Role model wa Joanah atakuwa ni baba yake ZAIDI ya mama yake😂😂😂
Joanah atakuwa ni binti ambaye hajapelekwa unyago na kuchezwa na manyakanga😂😂😂.
Utani Banaa😜😜😜
Type hii ya wanawake bado wapo kumbe,kadili siku zinavyoenda wanazidi kupotea.Sijifanyi mtakatifu lakini kwangu mie naona pesa haina nafasi kubwa kwenye mahusiano
Kama kutafuta sisi wote tunazitafuta,siwezi kumdharau mpenzi kwa kumuita majina hayo uliyotaja eti kisa hana pesa ama hapo mwanzo alikuwa nazo sasa ameishiwa
Napenda mtu,utu wake kwanza sio pesa
Tena kwenye kikao cha familia utaonekana unapiga kelele tu
Ukiwa na utu huwezi kumjudge mtu kwa kipato. Shida ni kuwa pesa ime overshadow hekima ya watu wengi sana sikuhizi but luckily kumbe watu wenye busara still wapo.Sijifanyi mtakatifu lakini kwangu mie naona pesa haina nafasi kubwa kwenye mahusiano
Kama kutafuta sisi wote tunazitafuta,siwezi kumdharau mpenzi kwa kumuita majina hayo uliyotaja eti kisa hana pesa ama hapo mwanzo alikuwa nazo sasa ameishiwa
Napenda mtu,utu wake kwanza sio pesa
True story mkuu...Ukiwa na pesa utazungukwa na wanafiki wengi sana iwe wapenzi au marafiki. Utaona unapendwa na kukubalika ila deepdown ni sababu wananufaika kwa namna moja au ingine na hela zako.Pesa inakupa marafiki wanafiki, pesa inakupa wapenzi fake, pesa inakupa umtakaye, pesa inakufanya ujiamini popote pale, pesa inakupa heshima.
Pesa ni sabuni ya roho
Kwa sababu ameshakuwa mpenzi wangu, na ameshatumia pesa zangu, then nitamuadhibu kwa mujibu wa katiba ya democrasia ya mapenzi.Nimeamini uchawi wa mahusiano ni pesa.
Yaani ukiwa nazo, utabembelezwa kama mtoto mchanga; ila ukiishiwa usishangae mpenzi wako kukuita majina ya ajabu ajabu kama vile, wee mbuzi, mbwa, paka n.k
Tutafute vyanzo vya pesa wakuu, tule mema ya dunia
Tuongee kwa vitendo.Sijifanyi mtakatifu lakini kwangu mie naona pesa haina nafasi kubwa kwenye mahusiano
Kama kutafuta sisi wote tunazitafuta,siwezi kumdharau mpenzi kwa kumuita majina hayo uliyotaja eti kisa hana pesa ama hapo mwanzo alikuwa nazo sasa ameishiwa
Napenda mtu,utu wake kwanza sio pesa
It is very true mkuu.True story mkuu...Ukiwa na pesa utazungukwa na wanafiki wengi sana iwe wapenzi au marafiki. Utaona unapendwa na kukubalika ila deepdown ni sababu wananufaika kwa namna moja au ingine na hela zako.
Focus kubwa iko hapo kwenye manufaa tu, the moment maslahi hakuna utatazamwa kwa jicho tofauti sana.
Hahahahah kuna watu walikunywa bia zake nyingi ila now wanamuita mzururaji tu! Life changes esp. ukivuliwa madaraka ama kuyumba kiuchumi maana watu wengi wapo kimaslahi.It is very true mkuu.
Mfano mkubwa ni kwa Paulo Makonda katumbuliwa watu ghafla wamemgeuka na wengine kumponda kwa kalikoroga mwenyewe.
Lakini angeshinda kwenye ubunge angesifiwa na kuitwa shujaa,great thinker,mwenye maono.
Hahahahah kuna watu walikunywa bia zake nyingi ila now wanamuita mzururaji tu! Life changes esp. ukivuliwa madaraka ama kuyumba kiuchumi maana watu wengi wapo kimaslahi.