Uchawi wa Nigeria: Siri ya mafanikio ya Chibu lakini sio uwezo wake

Wakati mwingine mkubali tu kuwa Mungu anatenda kazi..siyo kuusifia uchawi na ndumba tu...ina maana haiwezekani kufanikiwa kwa juhudi??akina jay-z,n.k....nao wanaenda nigeria???
 
Lakini tubonge ukweli...TEAM KIBA most of them ni VILAZA sana.

alafu wana inferiority complex syndrome, hawanaga jema wa diamond, wao hujiona ndio wanaostahili ndio maana wanapiga vita kuwanacho diamond, akili yao inawadanganya alichonacho diamond alipaswa kuwa nacho kiba, sasa kukubali ni diamind ndio mwenye nacho na sio kiba wanadhani sio bure kuna mkono wa kichawi, lakini angekuwa nacho kiba wangeona ni stahiki yake. wakafie mbeleeee daima cha dai kitabaki kuwa chake, fungu la kukosa poleni.
 
Watz akili zetu huwa zinasrutch itadhani cd mbovu na chafu..

Huwa tunashindwa kuwaza na kufkiri..bali huwa tuna haha hasa baada ya kuona mtu kafanikiwa na kuanza kuzusha ili tu ashuke...akili zetu huzunguka kinyumenyume kama saa iliyoishia betri
 

So what?????????
 
Ndumba Za Nigeria Zimekupumbaza Akili.Ndomana Huwez Kuuona Ukweli Unaropoka Tu Kama Umekatwa Kichwa.

kwani sisi tukipumbazwa na ndumba za mpendwa wenu inawauma nini?? acha tupumbazwe kwa wakati nyie mliopumbazwa na zile ndumba akizo mwaga kiba fiesta yeye akaruka ukuta,hivi mlijishtukia??? au ndio kichaa hajui kama yeye ni kichaa?? mbona nyie mmelogwa na kiba lakini hatusemi, mnavyoona hizi akili mlizonazo sasa ni pure? lile ndumba la fiesta alilozindika kibakuli tena wazi wazi unadhani hatukuona?? sema tulipotezea koz tunajua jamaa alishapotea kwenye ramani ya mziki siku nyingi. kinachowauma sio diamond kuwa mchawi,kinachowauma ni kwa vile kiba nae anatuloga lakini hatulogekiiiii, alafu ndumba lake la nguvu ya soda, waliozomea siku ile mbona sijawaskia tena?? kwendreeeeeni kuleeeeeee, uchawi uchawiiiii, tunalogwa tunalogwa kumbe uchawi mnatembea nao wenyewe.
 
Ulimwengu wasasa, umetawaliwa na shetani ibilisi kwa asilimia 80. ndiomana katika matajiri 20 duniani hakuna aliepata iyo pesa kwanjia ya halali. fanya utafiti, utaona.
 
Baadhi ya Watanzania ndivyo walivyo!!! Wakimuona mtu ana mafanikio ya kimaisha basi ni lazima waanze kutafuta vitu negative vya kuhusisha na mafanikio yake.

Huyu kapata mafanikio kwanza nchini mwetu na baadaye Afrika ya Mashariki na Kati, South Africa, Africa na sasa duniani lakini bado wenye akili finyu hawawezi kuyakubali mafanikio yake kwamba yametokana na kujituma kwake.

Ahsante sana kwa bandiko lako, nimelipenda.

 
kwahyo wewe ndo huwa unamsindikiza kwenye hizo ibada?maana unaonekana unajua mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…