Uchawi wa Nigeria: Siri ya mafanikio ya Chibu lakini sio uwezo wake


Nonsense.
 

Uchawi Wa Nigeria Umewapumbaza Akili.Hamjielewi Hata Mnachokiongea Na Kukiamini Na Kukisupport.Mnajiona Mko Sawa Lakini Sio Kosa Lenu
 
Mafanikio gan ya gafla kwan mziki kaanza juz huyo, ana miaka ming tu yupo kwenye mzik ila ni juhud zake ndio zmemfikisha hapo hajawah kuridhika na mafanikio yake. So stop thz stupidty.. Ukihic utajiri unapatikana Nigeria bas funga safar na wew uende.

Mkiendelea Na Ubishi Huu.Hipo Siku Tutamuanika Live Na Mambo Yake Yote Anayoyafanya Akiwa Nigeria.Nyie Endeleeni Tu Na Umburula Kwa Kumpigia Makofi Na Kumshangilia.Wakati Hamjui Siri Nzito Iliyondani Ya Mafanikio Yake.Msitulazimishe Tumuumbue Humu.
 
Kuna Njia tano (5) Rahisi na Muhimu za kufata ukitaka kuwa Tajiri.....

1. Kaa chini Design Bidhaa/huduma au Product yoyote ambayo unahisi ina-uhitaji kwenye jamii yako (Ukikosa boresha zilizopo)

2. Izalishe kwa kiwango cha ubora wa hali ya juu (Manufacturing)

3. I-park kwa ustadi iwe inavutia wateja wako/ kama ni huduma ifanyie advertisement

4. Isafirishe hadi sokoni (Pia nako hapa unaweza kuitangaza)

5. Simamia mauzo (Ikibidi ilinde kisheria kabisaa kwa kuithamini)

Na ndo anachokifanya dogo so sioni ajabu ya mafanikio yake..!
 
Daaah nyie watu bana.. Kwa hiyo uchawi ndio unamuwezesha kutunga mistari?

Hata Mr.Nice Alikua Anatunga Mistari.Mistari Mibovu Ambayo Haieleweki.Lakini Kwasababu Ya Ndumba Alikua Gumzo Kila Kona.Mwisho Wa Binadamu Kama Hawa Ni Anguko Takatifu Na La Milele!
 
Mkiendelea Na Ubishi Huu.Hipo Siku Tutamuanika Live Na Mambo Yake Yote Anayoyafanya Akiwa Nigeria.Nyie Endeleeni Tu Na Umburula Kwa Kumpigia Makofi Na Kumshangilia.Wakati Hamjui Siri Nzito Iliyondani Ya Mafanikio Yake.Msitulazimishe Tumuumbue Humu.

Wewe na nani msilazimishwe kumuumbua Domo?
 
Hata Mr.Nice Alikua Anatunga Mistari.Mistari Mibovu Ambayo Haieleweki.Lakini Kwasababu Ya Ndumba Alikua Gumzo Kila Kona.Mwisho Wa Binadamu Kama Hawa Ni Anguko Takatifu Na La Milele!

Daaah haya bana..
 
Wewe na nani msilazimishwe kumuumbua Domo?

Mimi Na Wale Wote Tunaojua Siri Nzito Iliyonyuma Ya Pazia.Kuhusiana Na Mafanikio Yake Ya Ghafla Na Tuzo Zake Anazopewa Kiholela.
 
Ingekuwa hivy wanaigeria woote wanguwa matajiri basi, usikubali kuwe chuki zako hadharani. Mafanikio hayaji kwa uchawi dada.

Tunashukuru Kwa Mchango Wako Mamdogo.
 
We mwanga shidayako ninini labda? Kapakatwe huko kama mchawi au sio we yanakuhusu nini labda? M. B. Wa wewee k kabisa
 
Binadamu bwana kafanikiwa maneno mshirikina asingefanikiwa ungesikia tulijua tu huyo ni kilaza......kuna siku moja nilikuwa namsikiliza MH.Msigwa ITV....Jamaa alisema tujifunze kwa watu waliofanikiwa wale ambao hawajafanikiwa jifunze kwa nini hawakufanikiwa katika njia zao....Alitolea mfano..Akasema watu matajiri duniani na maarufu huwa wanaandika vitabu na makala mbali mbali jinsi walivyoanza hadi wakafanikiwa...wewe ambaye hujafanikiwa ukisoma utajifunza kitu..lakini mwingine atabaki anasema tunajua jamaa alianza kubrash viatu yule haiwezekani akawa tajiri vile lazima alienda kwa mganga....hutofanikiwa kwa kuwaza hivyo......kwa hiyo ndugu yangu Kijana Diamond anajituma tu katika kazi yake ndo maana anafanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…