boobookitty
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 255
- 173
Mtoa mada you need prayers
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika Bara La Afrika.Nigeria Ndo Nje Inayoongoza Kwa Uchawi Na Vitendo Vya Kishirikina.
Wasanii Wakubwa, Wafanybiashara, Wacheza Filamu, Watumishi Wa Mungu, Wanasiasa, Watu Maarufu Nchini Nigeria Achilia Mbali Wananchi Wa Kawaida Wengi Wao Ni Waumini Wa Imani Za Kishetani Na Washirikina Wakubwa.
Mafanikio Ya Ghafla Ya Chibu Na Mlolongo Wa Tuzo.Zinatokana Na Kujihusisha Katika Imani Hizi Za Kinageria.Safari Nyingi Za Chibu Za Kwenda Naigeria Na Kurudi Zinahusisha Pia Kupata Nafasi Ya Kushiriki Katika Ibada Zao Na Kwa Ajili Ya Kutoa Sadaka Na Kufanya Matambiko.
Collabo Nyingi Za Domo Anazoforce Kufanya Na Wanigeria Ni Ktk Muendelezo Wake Wa Kua Karibu Na Wanamuziki Maarufu Ambao Nao Ni Waumini Wa Imani Hizi Za Kichawi.
Inasemekana Hata Utajiri Alionao Mkewe Mtarajiwa Zari(thebosslady) Chimbuko Lake Ni Uko Uko.Siri Ya Pete Ya Dhahabu Anayoivaa Domo Mkono Wake Wa Kushoto Ambayo Wengi Wanadhani Ni Pete Ya Uchumba.Lakini Ukweli Ni Kua Ni Pete Aliyoipata Nchini Nigeria.Na Inabeba Siri Kubwa Ya Mafanikio Yake.
khaaaa!!! naisikitikia sana nchi yangu yani watu wanawivu sana na mafanikio ya wenzao wakifanikiwa ndo mnakimbia kwenye uchawi sasa kama mchawi yeye wewe inakuuma nini?..muombee basi aache uchawi ndo maana aliwaambia mtanyoooka tuuu....!!!nahisi mleta uzi ni sepetu kaja na ID hii..... kama wa kuwanyoosha hawapo hata yeye mwenyewe atawanyosha hayo makunyanz....
Aache Uchawi Akuze Kipaji.Akae Akijua Uchawi Una Mwisho Wake.
Mafanikio gan ya gafla kwan mziki kaanza juz huyo, ana miaka ming tu yupo kwenye mzik ila ni juhud zake ndio zmemfikisha hapo hajawah kuridhika na mafanikio yake. So stop thz stupidty.. Ukihic utajiri unapatikana Nigeria bas funga safar na wew uende.
Daaah nyie watu bana.. Kwa hiyo uchawi ndio unamuwezesha kutunga mistari?
Mkiendelea Na Ubishi Huu.Hipo Siku Tutamuanika Live Na Mambo Yake Yote Anayoyafanya Akiwa Nigeria.Nyie Endeleeni Tu Na Umburula Kwa Kumpigia Makofi Na Kumshangilia.Wakati Hamjui Siri Nzito Iliyondani Ya Mafanikio Yake.Msitulazimishe Tumuumbue Humu.
Hata Mr.Nice Alikua Anatunga Mistari.Mistari Mibovu Ambayo Haieleweki.Lakini Kwasababu Ya Ndumba Alikua Gumzo Kila Kona.Mwisho Wa Binadamu Kama Hawa Ni Anguko Takatifu Na La Milele!
Ingekuwa hivy wanaigeria woote wanguwa matajiri basi, usikubali kuwe chuki zako hadharani. Mafanikio hayaji kwa uchawi dada.Aache Uchawi Akuze Kipaji.Akae Akijua Uchawi Una Mwisho Wake.
Uchawi Wa Nigeria Umewapumbaza Akili.Hamjielewi Hata Mnachokiongea Na Kukiamini Na Kukisupport.Mnajiona Mko Sawa Lakini Sio Kosa Lenu
mi sijasema ni uchawi mi nimeuliza walimaanisha nini kufanya hivyo????