Uchawi wa Simba Hadharani sasa. Hivi mpira wetu Unaelekea wapi?

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Huu ndo Uchawi Mkubwa wa Simba. Duniani hamna Siri. Mpira ni mchezo wa wazi unachezwa kwenye Mwanga. Tumeona kilichotokea. Hapa Simba wamemchukua kimazingara Messi na kumpa ngozi na nywele nyeusi. Wakambadilisha na jina. Huu uchezaji si wa kawaida kwa huyu bwana mdogo.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
Mpira wety unaelekea kukua. Kama tunaweza sajiri wachezaji wa karba hii kuna jambo kubwa la kujifunza. Na wachezaji wa ndani wapambane. Hawapendi kuona haya?
 
Hakuna timu yenye washabiki mazombi kama simba.

Yahani mashabiki wa simba ukitaka wafurai wape sifa ambazo hata hawana sababu wanafurai sana wanaposikia timu yao ikipewa sifa za uongo, mfano waambie kwa hii simba ata aje Barcelona hatoki, konde Boy ni zaidi ya mesi, mwaka huu simba inatinga fainali club bigwa ya Africa.

Hapo walipo wako hatua ya makundi na ukiangalia kwenye kundi lao licha ya kuwa simba anaongoza kundi lakini ukweli ni kwamba kila timu bado ina nafsi ya kutinga robo fainali. Hivyo wanasimba msianze tukana mamba wakati hamjavuka mto hii ni football sometimes hua hina surprise za kutisha tusije tukakimbiana humu.
 
Kwani mkuu unaionaje simba kwa mechi za club bingwa alizocheza mpaka sasa?? (Ikiwemo mechi za kufuzu hatua ya makundi)
Simba wamejitaidi, lakini mimi nachokiona ni kwa mashabiki wamekua na matarajio makubwa sana kwa mfano bahada ya kupata ushindi kwa as vita na mwarabu wanasimba wanaona kama wamemaliza kazi, mpaka kuna bahadhi walishaanza kupanga robo fainali watakutana na timu gani, wanasahau kua huu ni mpira sometimes hua unakuja na comeback za kushangaza.
 
Zombi la kwanza ni wewe mzee wa utopolo.
 
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji1787]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mhhh!

Mmhhh! Yaani wale wasudani unawaweka kwenye timu za kutinga robo?
This is football anything can happen, halafu usiwachukulie poa kihivyo kisa wamepoteza game Mbili.

Mwaka juzi simba alipoteza game mbili kwa vipigo vya hatari Congo akala hamsa na mjini Cairo akala hamsa na watu wote tulijua ule ndio ulikua mwisho wa simba lakini mnyama akatinga robo fainali na huo ndio mpira sometimes umdhaniaye kumbe sio.

NB: wale jamaa wasudani mechi yao inayofata wanashinda ila sijui wanakutana na timu gani.
 
Ulivyocomment ndio unajiona una akili.

Wachezaji wa simba unaweza kulinganisha na kina sarmpong na nchimbi, huyo Morison mnayemuitishia vikao kila siku mechi za kimataifa simba anakaa benchi tafuteni quality player ndio uje hapa ubishane au umesahau mapovu yalivyokuwa yanakutoka kabla ya mechi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…