Uchawi wa Simba Hadharani sasa. Hivi mpira wetu Unaelekea wapi?

Uchawi wa Simba Hadharani sasa. Hivi mpira wetu Unaelekea wapi?

Simba wamejitaidi, lakini mimi nachokiona ni kwa mashabiki wamekua na matarajio makubwa sana kwa mfano bahada ya kupata ushindi kwa as vita na mwarabu wanasimba wanaona kama wamemaliza kazi, mpaka kuna bahadhi walishaanza kupanga robo fainali watakutana na timu gani, wanasahau kua huu ni mpira sometimes hua unakuja na comeback za kushangaza.
Mechi ya tarehe 5 itakupa picha kamili kama simba wataishia wapi
 
Back
Top Bottom