Hakuna timu yenye washabiki mazombi kama simba.
Yahani mashabiki wa simba ukitaka wafurai wape sifa ambazo hata hawana sababu wanafurai sana wanaposikia timu yao ikipewa sifa za uongo, mfano waambie kwa hii simba ata aje Barcelona hatoki, konde Boy ni zaidi ya mesi, mwaka huu simba inatinga fainali club bigwa ya Africa.
Hapo walipo wako hatua ya makundi na ukiangalia kwenye kundi lao licha ya kua simba anaongoza kundi lakini ukweli ni kwamba kila timu bado ina nafsi ya kutinga robo fainali, hivyo wanasimba msianze tukana mamba wakati hamjavuka mto hii ni football sometimes hua hina surprise za kutisha tusije tukakimbiana humu.