Uchawi wa Simba Hadharani sasa. Hivi mpira wetu Unaelekea wapi?

Mzee! Simba kilichompitisha ule msimu wa hamsa hamsa ni kushinda mechi za home sasa huyu msudani hadi game za home anafungwa
 
Dah! Kweli wewe ni zombie hao wakina sarmpong na Nchimbi wanatoka wapi tena mbona povu Kali sana brother.
 
Wewe uto rudi kajifunze mwandiko kwanza.
 
Member kwa nini kwanza usingefanya hata swahili course? Maana hueleweki kabisa
 
Mpira ni uhawi! Angalia wachezaji 11 , ni kwa nini isiwe no ingine? Hiyo no ni Dili katika ulimwengu wa roho
 
Hivi unafikiria kwa kutumia nini ndugu? Yaani unawashangaa mashabiki wa simba na kuwaita mazombi kwa vile tu wana matumaini ya kufika fainali, yaani wewe unaona simba kufika fainali haiwezekani, halafu hapo hapo unasema mpira una matokeo ya kushangaza simba wasijipe matumaini ya kuvuka Makundi.

Sasa hayo matokeo ya kushangaza hayawezi kutokea kwa simba hatua za robo na nusu na kutinga fainal? Nani kakuambia matokeo kwa simba hayatakuwepo ya kushangaza na yakiwepo yatakuwa against simba? Sasa huoni hapo wewe ndio zombi?
 
Utopolo bhana, bahadhi .... Baadhi
bahada..... Baada!
 
Usipate shida kwani ukimaliza hatua hii si robo final kk? So si haba mtu kuwa na mipango ya juuu km hiyo

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 

Utopolo utateseka sana!
Kwa upande wa mashabiki hivi kuna mazwazwa kama ya utopolo?
Just imagine huu uzwazwa mlioufanya hapa

Mnajiona mlifanya bonge la ujanja[emoji196][emoji196][emoji196]
 
Kama Una akili za kizombi uwezi kunielewa nilichosema Mimi sio kwamba simba awezi kufika robot final hata final
Mimi nawapa tu taarifa usitukane mamba wakati bado ujavuka mto kwani mashabiki wengi wasimba baada ya kuwafunga waarabu wanadhani ndio wamemaliza kazi wakati kwenye hilo kundi bado kila timu ina nafasi ya kutinga robo fainali
 
Hilo jina nalo ulilikosea ukitaka andika california. Watu wanakujali ndo maana wanakufundisha bwana mdogo. Usishupaze shingo...
huna jipya unafikiri hiyo user name imekosewa,hivyo ndio ilivyo na akuna aliyekosea kama utaki kashitaki kwa manara
 
Wewe mwenyewe umesema mashabiki wa simba wanapenda kuambiwa uongo kama vile kufika fainal, ila sasa unakataa kwamba hujasema simba haiwezi kufika fainal? Au hujasoma ulichoandika bwana utopolo? Halafu unaposema 'mashabiki wengi wa simba' kwa ushahidi gani ulio nao kwamba ni 'wengi'wanaamini simba ishafuzu? Huoni kwamba unatumia hisia za kiutopolo? Mambo ya mamba sijui mto ni ya walioshindwa kama timu lako bovu la utopolo unaloshabikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…