Uchawi wa Simba Hadharani sasa. Hivi mpira wetu Unaelekea wapi?

zombie tuliza akili indio utaelewa huu mchezo auitaji asira
sasa kwa hizo akili zako ndogo tu ulizo Nazo unadhani simba atakanyaga hata nusu fainali?
Siku zote yanga ni timu kubwa na Siku zote timu kubwa aipigi kelele kama timu zisizojielewa mafanikio kidogo mashabiki mnageuka waimba taarabu mipasho kwa kwenda mbele kama wadada wa buza
 
Na Ally Mayai Tembele

Niliwahi kuandika Yanga inajidanganya yenyewe na kuishi kwa kivuli cha timu kubwa na kudhani labda dunia imesimama kumbe dunia inakimbia kwa kasi mno.

Nilisema Yanga imedumaa na Siku ikija kushtuka na kutaka kwenda sambamba na dunia itakuta tayari Simba imeliteka soko lote la Uchumi wa soka nchini.
Nilitoa mfano wa Juventus, Porto, Buyen Munich, Mazembe, Gor na Horoya kwamba timu hizi tayari zimejimilikisha Uchumi wa soka wa nchi zao. Leo hakuna mchezaji wa Kijerumani asiyetamani kuchezea Buyern. Au mchezaji anayezaliwa Italy ndoto yake kuu ni kucheza Juventus. Na tunakoelekea na Tanzania hali ndiko inakoelekea. Simba inajimilikisha kwa kasi ya ajabu uchumi wa soka.
Yanga wamebaki kujivunia juzi na jana na sio leo na kibaya zaidi sioni kesho yao.
Kama Kuna kosa kubwa kuliko yote linafanyika ni pale wanapobeza mafanikio ya Simba na kuwaponda mwekezaji wa Muhamed Dewj. Wamekuwa wakitafuta mapungufu machache yaliyopo Simba na kuyafanya ndio agenda yao. Wamesahau kabisa kuitazama timu yao na mkwamo uliopo wameamua kuitukuza Simba na kuitaja aidha kwa mapungufu au kuwabeza Kama watani. Wanasahau hapa wao wenyewe ndio wanaikuza brand ya Simba na kuifanya kutajwa mno midomoni kila siku.

Leo Yanga hawana hata Jambo Moja wanaloweza kupambana na Simba aidha ndani au nje ya Uwanja. Wamezidiwa kila udara na itawachukua muda mrefu mno kufikia Simba ilipo Sasa.
Yanga hawajakubali bado kubadilisha mfumo wao wa uendeshaji wa timu kutoka wa kizamani na wa kiholela kuja kwenye mfumo wa kisasa na hii inasababishwa na walaghai tena wezi wa jasho la wachezaji kuwahadaa ni timu ya wananchi na wasikubali mwekezaji kwa kuwa timu itakuwa si Mali yao Tena. Huu ndio uongo uliotukuka wanaoutumia walaghai kuendelea kujinufaisha kupitia klabu hii.
Embu tujiulize nyie wapenzi na mashabiki wa Yanga lini mlinunuliwa hata soda na klabu zaidi ya nyie kuchangishwa? Sasa hicho mnachoaminishwa mtakipoteza ni kipi? Wanaoogopa kupoteza ni wale akina fulani ambao maisha yao yanategemea timu kuendelea kuishi mjini. Na hawa huwa hawachangii zaidi ya kuwa mstari wa mbele kuhamasisha ili wazizungukie mlango wa nyuma wakaziibe. Sisi tunaochanga Wala hatuna Cha kupoteza

Nahisi kwenye miaka ya sitini ni kweli mashabiki wa Yanga labda walikuwa wengi kuliko wa Simba na mkabweteka na mkasahau watu wanazaliwa na kufa. Nimebahatika kwenda karibu viwanja vyote vya soka nchini. Nawahakikishia kwa sasa Simba Ina mashabiki wengi kuliko timu zote nchini.
ENDELEENI KULALA MKIAMKA TAYARI JUA LITAKUWA LINAZAMA.
 
Utopolo bhana, timu kubwa halafu inafanyia mazoezi uwanja wa shule ya msingi, aaaaah leta picha ya Carlinhos siku ya kwanza akiwa mazoezini pale mwembe togwa primary school ndio utajua utopolo haina tofauti na lipuli.
 
Huyu ndio wale kina Eymael alikuwa anawasema ukifatilia post zake za sasa na za nyuma utakuta kuna vitu anavisema halafu anajipinga
 
Simba hawajui mpira kabisa, hapa Ahly wangekutana na timu yetu Yanga wangechapwa ka mbwa kajikojolea


Baada ya mechi 6 utopolo mkaambulia point 2 huku mkiwa mmepigwa goli 14, mlitia aibu sana! Naomba sana isije kutokea utopolo ikapata nafasi ya kuwakilisha kimataifa itatia aibu sana.... isijekutokea ng'o!
 
Utopolo bhana, timu kubwa halafu inafanyia mazoezi uwanja wa shule ya msingi, aaaaah leta picha ya Carlinhos siku ya kwanza akiwa mazoezini pale mwembe togwa primary school ndio utajua utopolo haina tofauti na lipuli.
kwani unaumia sana yanga wakifanyia mazoezi kwenye uwanja wa shule, sometimes ni sehemu ya program ya mwalimu timu kufanya mazoezi kwenye kiwanja kibovu ili wachezaji wawe na experience pindi wanapokwenda kucheza mechi kwenye viwanja kama hivyo.
Ila kwakua nyie utelembwe ni zombie generation auwezi kuelewa kitu hapo
 
Dalili ya mvua ni mawingu mkuu. Zinduka!!

N.B Ahaly wakizubaa tunawafunga na kwao.
 
Utopolo wanaumia we acha tu. Juz.juz.ulikua unasema simba anapigwa hamsa leo umebadil lugha. Ivo.ivo tu.utakua unabadili badili wakat.wenzako wanasongA
hamsa Ipo palepale ni swala la muda tu
 
Aaaah leo utopolo imefanyia mazoezi uwanja wa shule ipi mkuu? Magomeni ,Tandika au tandale?
 
Utopolo utateseka sana!
Kwa upande wa mashabiki hivi kuna mazwazwa kama ya utopolo?
Just imagine huu uzwazwa mlioufanya hapa
View attachment 1712267
Mnajiona mlifanya bonge la ujanja[emoji196][emoji196][emoji196]
Hili ni jambo baya kuwahi kutokea TANZANIA, ilikuwa fedheha mno. Nadhani yale maombi ya siku tatu kuhusu Covid 19 yalipaswa kuelekeza kwenye hii timu ya Utopolo
 
Ndugu zimebaki mechi nne. Mathematically Simba akishinda mechi moja Kati ya nne zilizobakia anapita. Mathematically.

Mulianza Kwa kusema khamsa loading...... tukapindua mkeka. sasa hivi mnaanza kusema kila team inanafasi.

Roho zinawaumaaa. Mmekua wadogoo kama mb@0 za vitoto vichanga
 
hamsa Ipo palepale ni swala la muda tu
Swala ni mnyama. Unatesekea pande zipi kwa mafanikio ya simba wewe nyani ambaye huna elimu zaidi ya kujua kusoma tu....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unaumia ukiwa mkoa gani shekhe ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…