Nifah bwana umenichekesha sana na ghafla umenifanya nimkumbuke jamaa angu mmoja wa high school alikua pcm anaitwa Jeremiah, yeye hakua akipenda kabisaa kuegemea upande wa walio wengi. Akiona weng mmechagua huku yeye anachagua kulee hata kama kiuhalisia alikua anapenda kule kwingine. He always wanted to be unique or favoured the minority.
Kwahiyo wewe hupend mwenye ukwasi kama magar.
Japo ni mentality nzuri though
Unaowazungumzia wewe sio wanazingumziwa humu usiishi kwa kukariri kwamba 1+1=2 kuna sehemu utaambiwa 1+1=11 na itakubidi ukubariane na maelezokakangu ana mabinti zake wameshafika chuo, kawanunulia magari kila mmoja. na amewawekea bili ya mafuta pia. nadhani hapo ndipo tunatofautiana, wengine magari wameyapata miaka 5 baada ya kuajiriwa, wakati mwingine wamezaliwa wanayaona nyumbani, wamefika 18 wametafutiwa leseni walikuwa wanaendesha kwenda sokoni na walipoenda chuo wazazi wao wamewanunuliwa. wakati wewe alichoki toka mwanza huko unasugua barabara hadi uje uajiriwe tena ukae miaka kadhaa mshahara wako uongezeke then ukopee hakohako kamshahara ununue gari. hao ndio huyu aliyeleta mada.
kuna siku kuna mdada fulani wa ofisini hapahapa DSM aliomba tumsogeze nyumbani kwao kwasababu siku hiyo hakuja na gari. ni mtu anajishusha huwezi amini kama sio maskini, tukampakia tukaseme tumpitishe kwao, wapi? nikashangaa anatuelekeza tuelekee Masaki duh, tulienda kumshusha kwenye nyumba hiyo, naomba niishie hapa nisiendelee kusema, nilibaki mdomo wazi. familia ambayo kale kagari ka ofisi yetu wanaweza kununua hata 20 huko. sikuongea kitu ila hata nikikutana naye huwa namwangalia tu kwa kumchungulia manake sisi wengine wachaga nafikiri unajua maisha yetu ni ya kimara, sinza huko na tunajifanya tuna maisha mazuri, nilipelekwa sehemu ambao imetuliaaaaa kama maji ya mtungi. pale hadi ubongo lazima utulie aisee. vijana tutafute hela mabinti zetu wasiliwe kimasihara.
Thumb up man..i thought she was one.Nifah ain't a chick, she's already way past that, don't let her avatar fool you, she a 80s aunty
Mi nikajua bonge moja la Shangazi kumbe bado asubuhi kabisaAcha ufala basi, nimeingia 30’s majuzi tu hapo.
Usijidai unawajua watu sana Mkuu.
[emoji28][emoji28]Kwahiyo Gari Ni Ulimbo Kwa Wanawake Unawanasa?
Upo matured SanaKatika wanawake ambao hawapendi magari mimi naongoza. Sio kila mwanamke ana ushamba wa magari jamani.
Basi tu sina namna ila natamani sana yule ninayempenda asiwe na gari. Tuishi maisha ya kawaida kabisa maana mentality za wanaume wengi wenye magari ndio kama hizi… wanawake.
Maisha ya roho juu siyawezi.
And just to let you know, Faiza Foxy is our granny, saw a post she was hittin the discos in 70s, I was amazed, some fellas in here are fooled by her avatar 😂Thumb up man..i thought she was one.
Nafikiri kuna point ambayo bado hamjaielewa.Nifah bwana umenichekesha sana na ghafla umenifanya nimkumbuke jamaa angu mmoja wa high school alikua pcm anaitwa Jeremiah, yeye hakua akipenda kabisaa kuegemea upande wa walio wengi. Akiona weng mmechagua huku yeye anachagua kulee hata kama kiuhalisia alikua anapenda kule kwingine. He always wanted to be unique or favoured the minority.
Kwahiyo wewe hupend mwenye ukwasi kama magar.
Japo ni mentality nzuri though
Ahahahaha.. concerning such a witch master, i am well aware.😂😂😂And just to let you know, Faiza Foxy is our granny, saw a post she was hittin the discos in 70s, I was amazed
Kuna watu vichwa vyao wanavijua wenyewe. Anatunga uongo wakati mwenyewe niko hapahapa.Mi nikajua bonge moja la Shangazi kumbe bado asubuhi kabisa
ishu cheap au ishu utelezi,,,,,,hayo mambo ya cheap mnajuaga wenyewe wadada,,,,ndo maana baba mwenye nyumba hata beki 3 anapeleka hata kama waifu ni expensiveMe i love good cars, bt sio mwanamume alete dharau juu ya mwanamke kisa hizo gari, guys mtapata hao wapo cheap
Mbona gari mbali huko. Ukiwa na bodaboda tuu unajilia mema ya nchiKwahiyo Gari Ni Ulimbo Kwa Wanawake Unawanasa?
Uko sahihi..Mwanaume mwenye akili ya gari/magari kabla ya mambo mengine sio. Ndio hao kama mleta mada hapa.
Vinginevyo, mimi kama mwanamke mwenye wivu mpenzi wangu akiwa na gari sina amani kusema za ukweli, ni bora tupande Bolt tukitoka out zetu 🤣🤣🤣
njoo basi tuufurahie Ulimwengu pamoja... japo nina kapikipiki🤭🤭🤭🤭Katika wanawake ambao hawapendi magari mimi naongoza. Sio kila mwanamke ana ushamba wa magari jamani.
Basi tu sina namna ila natamani sana yule ninayempenda asiwe na gari. Tuishi maisha ya kawaida kabisa maana mentality za wanaume wengi wenye magari ndio kama hizi… wanawake.
Maisha ya roho juu siyawezi.
Ni kweliJua kutofauti X na kuzidisha, gari na usafiri, + na msalaba
unafanyaje fanyaje... nina boda ila mademu wana nikataaMbona gari mbali huko. Ukiwa na bodaboda tuu unajilia mema ya nchi
Eheheheh..siokoteki kirahis namna ile Nifah .Kuna watu vichwa vyao wanavijua wenyewe. Anatunga uongo wakati mwenyewe niko hapahapa.
Acha aendelee kumuokota Ivan Stepanov
Niffah kwanza nikusalimie Shikamoo maana najua wewe Dada yetu hata kwa tulio na 35.Nafikiri kuna point ambayo bado hamjaielewa.
Kwangu mimi gari sio kielelezo cha ukwasi, mwanaume nitamheshimu zaidi kama ana nyumba zake za kutosha, hata moja sio mbaya, viwanja na vinginevyo ila sio gari huku akiwa hana lolote zaidi ya kuwaza kuwazuzua wanawake na gari.
Mwanaume mwenye akili ya gari/magari kabla ya mambo mengine sio. Ndio hao kama mleta mada hapa.
Vinginevyo, mimi kama mwanamke mwenye wivu mpenzi wangu akiwa na gari sina amani kusema za ukweli, ni bora tupande Bolt tukitoka out zetu 🤣🤣🤣
Wapakize bure watachukua Namba wenyewe na watakua wanakuita wenyewe mchezo umeishiaunafanyaje fanyaje... nina boda ila mademu wana nikataa