Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,314
- 9,215
Hivi bwana GEUZA kashtakiwa na jamhuriHamna kesi hapo,ccm wanambeba muuza papa wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi bwana GEUZA kashtakiwa na jamhuriHamna kesi hapo,ccm wanambeba muuza papa wao
Kuna waendesha mashtaka wapya wako internSasa huu ni upumbavu na kupoteza raslimali za taifa.
Jamuhuri
Yaan hapo ni MTU KALA SAMAKIMbona Shilole alikuwa anampiga sana Nuhu Mziwanda? Hizi Sheria za kukandamiza wanaume zitaleta chuki na mpasuko kwenye jamii
😀😀Mbona Shilole alikuwa anampiga sana Nuhu Mziwanda? Hizi Sheria za kukandamiza wanaume zitaleta chuki na mpasuko kwenye jamii
Hata Ka Barnaba kalikuwa kanadundwa sana tu.Mbona Shilole alikuwa anampiga sana Nuhu Mziwanda? Hizi Sheria za kukandamiza wanaume zitaleta chuki na mpasuko kwenye jamii
Haswa yule Waziri anayetoka naye huko Unyamwezini, anashikia sana bango.CCM wameamua kumbeba Shilole sababu ni mtu wao, Mungu amtetee Uchebe ashinde hili shauri...
Sio Barnaba ni Nuhu MziwandaHata Ka Barnaba kalikuwa kanadundwa sana tu.
Waitara[emoji848][emoji848]Haswa yule Waziri anayetoka naye huko Unyamwezini, anashikia sana bango.
Kabla ya Nuhu alikuwepo Barnaba.Sio Barnaba ni Nuhu Mziwanda
Hapana, yule mwenye jina la mabaki ya mawe ya dhahabu, yanaitwa magangwala yakiwa mengi...sasa kakiwa kajiwe kamoja kadogo kadogo.Waitara[emoji848][emoji848]
Polisi wamefanyia kazi mambo ya mitandaoni?Dar es Salaam.
Ashiraf Geuza maarufu' Uchebe' amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni akikabiliwa na kosa la kumjeruhi Zuwena Mohamed maarufu 'Shilole' na kumsababishia maumivu makali.
Akisoma hati ya mashtaka Wakili wa Serikali, Chesensi Gavyole mbele Hakimu Mkazi Hudi Hudi, alidai kuwa Julai 6, 2020 maeneo ya Dar Estate Kinondoni jijini Dar es Salaam mshtakiwa huyo alimpiga Zuwena Mohamed sehemu ya kichwa na shingoni na kumsababishia maumivu makali.
Hata hivyo mshtakiwa huyo alikana shtaka linalomkabili. Gavyole alidai kuwa upelelezi umekamika na aliiomba mahakama hiyo ipange tarehe nyingine.
Hakimu Hudi alisema dhamana ipo wazi mshtakiwa anatakiwa awe na wadhamini wawili ambao wanatakiwa kuwa na barua inayotambulika na watasaini bondi ya Sh2 milioni pamoja na mshtakiwa.
Mshtakiwa huyo alikidhi masharti ya dhamana shauri hilo limeahirishwa hadi Septemba 23, 2020 itakapokuja kwa ajili ya usikilizwaji wa hoja za awali.
[emoji38] Ki...Hapana, yule mwenye jina la mabaki ya mawe ya dhahabu, yanaitwa magangwala yakiwa mengi...sasa kakiwa kajiwe kamoja kadogo kadogo.