Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Pia juzi kati Gigy kamtandika bwana ake hadharani tena kwa viatu vyenye ncha kali.Mbona Shilole alikuwa anampiga sana Nuhu Mziwanda? Hizi Sheria za kukandamiza wanaume zitaleta chuki na mpasuko kwenye jamii