Uchebe afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kumshambulia Shilole

[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
CCM wameamua kumbeba Shilole sababu ni mtu wao, Mungu amtetee Uchebe ashinde hili shauri...
...πŸ™„πŸ™„πŸ™„..Ccm tena? Ina maana Uchebe ni mpinzani?
 
Sahv uchebe azipuzie media maana naye kutwa kuhojiwa, dem anataka kumkomoa amsweke Ndani asijisikie burdan

Ova
Hili ndio neno, jamaa hapo alikuwa bwege,kutwa mitandaon, ana fame gani sasa akae huko, anajiharibia tu.
 
Ukiwa huna hela gongs mbuye Sana ukianza kuishia viwili just umekaribia kupugwa
 
Yaani humu watu hawapo serious kabisa, nimepitia comments nimecheka sana. Aisee acheni hizo mwenzenu ana kesi mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…