sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Habari za uhakika ni kwamba kocha wa zamani wa Simba maarufu Uchebe amechukuliwa kuinoa Singida Black Stars.
Singida safari hii wanawekeza sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
njaa kali ulaya huko, ndio anarudi simba mdogomdogo.View attachment 3011233
Habari za uhakika ni kwamba kocha wa zamani wa Simba maarufu Uchebe amechukuliwa kuinoa Singida Black Stars.
Singida safari hii wanawekeza sana.
Kishingo pia alifanya kazi nzuri. Ndiye aliyeiondoa Simba kwenye utamaduni wa kupigwa hamsa 🪬 Uarabuni.Huyu kocha sitamsahau, aliitengeneza Simba Sc ikawa moto yenye vikosi viwili, nakumbuka ile super sub ya Miraj Athuman ilikuwa kazi ya Aussems...
Baadae yule gabachori akaanza wivu wake, anataka yeye ndie apendwe na kutukuzwa kama mungu mtu ndani ya klabu, akamfukuza uchebe bila kosa lolote huku kwa aibu hiyo kazi ya kumfukuza akimuachia dada yake asimamie yeye akakimbilia nje ya nchi.
Kutoka hapo ndio downfall ya Simba Sc ikaanza, kila siku ni kubadilisha makocha tu, timu hqina mbele wala nyuma uongozi haueleweki, sajili za hovyo.
Aliyebaki anafanya vizuri atlist ni Ahmed Ally pekee huku nae maneno mengi anayoongea yakigeuka uwongo kwasababu ya kutokuwepo kwa uwiano kati ya mdomo wake na vitendo uwanjani, maneno mazuri hiku uwanjani mpira wa hovyo.
Uliwahi kuiona Simba Sc ya uchebe iliyomuondoa Nkana Red Devils pale Taifa? Simba ya uchebe imewagonga sana waarabu kwenye makundi.Kishingo pia alifanya kazi nzuri. Ndiye aliyeiondoa Simba kwenye utamaduni wa kupigwa hamsa 🪬 Uarabuni.
Hongera Singida Black Stars hatua kubwa kwenu na maendeleo ya Mpira TANZANIA. Kocha mkubwa huyu.View attachment 3011233
Habari za uhakika ni kwamba kocha wa zamani wa Simba maarufu Uchebe amechukuliwa kuinoa Singida Black Stars.
Singida safari hii wanawekeza sana.
Uchebe ndio aliyeanzisha na kuasisi simba imara ya kimataifa. Ile mechi ya Simba Vs Nkana Ni bonge moja la mechi katika historia ya mpira wa Tanzania. Ndio mfumo wa kumtegemea Chama ulianzia hapo na mpaka leo simba bado wanamtegemea chama 🤣Uchebe ndio mwasisi wa pira biriyani, Kishingo alitembelea nyota yake
Nitashabikia SBS kuanzia leoView attachment 3011233
Habari za uhakika ni kwamba kocha wa zamani wa Simba maarufu Uchebe amechukuliwa kuinoa Singida Black Stars.
Singida safari hii wanawekeza sana.
Aaaahaaaa....kazi ipo 😂😂😂. nacheka kama mazuri
top 4. imekuwa kitu cha maana sana. kila mtu anaona confederation cup makundi anaingia.Aaaahaaaa....
Kikuchekeshacho?
Simba je?Na bado hapo hawajasajili majembe.Nawaona Simba nafasi ya Tano manina
Simba na Yanga inabidi wajipangetop 4. imekuwa kitu cha maana sana. kila mtu anaona confederation cup makundi anaingia.
next season itakuwa ngumu sana.