Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
deal amna, unemployment up 30%. everyone is looking for good paying jobs. hapo anakula 200k usd per yearJe bongo kutamu au kocha hana dili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
deal amna, unemployment up 30%. everyone is looking for good paying jobs. hapo anakula 200k usd per yearJe bongo kutamu au kocha hana dili
Timu ya ukweni, nitakuwepo pia 😃😃Nitashabikia SBS kuanzia leo
Nina save hii comment yako!Na bado hapo hawajasajili majembe.Nawaona Simba nafasi ya Tano manina
View attachment 3011233
Habari za uhakika ni kwamba kocha wa zamani wa Simba maarufu Uchebe amechukuliwa kuinoa Singida Black Stars.
Singida safari hii wanawekeza sana.
AaahaaaaTimu ya ukweni, nitakuwepo pia 😃😃
Umesahau na As VitaUchebe ndio aliyeanzisha na kuasisi simba imara ya kimataifa. Ile mechi ya Simba Vs Nkana Ni bonge moja la mechi katika historia ya mpira wa Tanzania. Ndio mfumo wa kumtegemea Chama ulianzia hapo na mpaka leo simba bado wanamtegemea chama 🤣
Kishingo ndiye Aliua uwezo wa wachezaji wengi kuanzia Kagere Hadi Rashid JumaUliwahi kuiona Simba Sc ya uchebe iliyomuondoa Nkana Red Devils pale Taifa? Simba ya uchebe imewagonga sana waarabu kwenye makundi.
Kikubwa hatushuki darajaNa bado hapo hawajasajili majembe.Nawaona Simba nafasi ya Tano manina
Safi sana.Save tupo hapa kukumbushana.Nina save hii comment yako!
Kwamba simba wao mmewazuia kusajili wachezaji wazuri wa kuwapa ubingwa? Bingwa wa NBC PL mwakani ni simba. Save hii .Nafasi ya 3 itasumbua sana msimu ujao Simba wajipange
Lkn ndio ilikula 5 Kinshasa..ikala 5 misri ..ikafa 4 kwa MazembeUliwahi kuiona Simba Sc ya uchebe iliyomuondoa Nkana Red Devils pale Taifa? Simba ya uchebe imewagonga sana waarabu kwenye makundi.
Hahahahaha uzuri mpira una madalali hao makocha wana watu wao mjini hapa..ndio maana unaona wanajirudia rudia wale wale ni mchongo watu wanaishiTatizo la watanzania ni kuigana.
Wanaigana mpaka makocha.
unamaanisha yanga, azam, coastal union na singida black stars kuifutilia mbali simba nafasi ya kwanza?Na bado hapo hawajasajili majembe.Nawaona Simba nafasi ya Tano manina
Uchebe aliachwa baada tu ya mechi na Tp Mazembe pale lubumbashi, baada ya mechi ile tu zengwe likaanzaNamkubal sana.....!! Simba walijichanganya sana kumuacha kisa kwa figisu za nyumban kwetu matola Njombe
Wakuu mkiwa mnaongelea mpira mjitahidi kuwa na kumbukumbu basi.Huyu kocha sitamsahau, aliitengeneza Simba Sc ikawa moto yenye vikosi viwili, nakumbuka ile super sub ya Miraj Athuman ilikuwa kazi ya Aussems...
Baadae yule gabachori akaanza wivu wake, anataka yeye ndie apendwe na kutukuzwa kama mungu mtu ndani ya klabu, akamfukuza uchebe bila kosa lolote huku kwa aibu hiyo kazi ya kumfukuza akimuachia dada yake asimamie yeye akakimbilia nje ya nchi.
Kutoka hapo ndio downfall ya Simba Sc ikaanza, kila siku ni kubadilisha makocha tu, timu hqina mbele wala nyuma uongozi haueleweki, sajili za hovyo.
Aliyebaki anafanya vizuri atlist ni Ahmed Ally pekee huku nae maneno mengi anayoongea yakigeuka uwongo kwasababu ya kutokuwepo kwa uwiano kati ya mdomo wake na vitendo uwanjani, maneno mazuri huku uwanjani mpira wa hovyo.
Kishingo hakuwahi kukutana na timu yoyote ya Uarabuni aliwaondoaje Simba kwenye hilo wakati hakukutana na waarabu ?Kishingo pia alifanya kazi nzuri. Ndiye aliyeiondoa Simba kwenye utamaduni wa kupigwa hamsa 🪬 Uarabuni.
Hapana msimu huo mchezaji muhimu alikuwa Emanuel OkwiUchebe ndio aliyeanzisha na kuasisi simba imara ya kimataifa. Ile mechi ya Simba Vs Nkana Ni bonge moja la mechi katika historia ya mpira wa Tanzania. Ndio mfumo wa kumtegemea Chama ulianzia hapo na mpaka leo simba bado wanamtegemea chama [emoji1787]